Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Umeongea jambo la maana sana. Ni vizuri tukaanza kufikiria malipo kwa hawa watu.

Huu uzi unaumiza sana, huyu Ben ana wazazi na ndugu zake wengine sijui wanajisikiaje huko waliko. Binadamu tunakosa utu namna hii, hivi unawezaje kula,kulala na kucheka huku ukijua mikono yako inatiririka damu za wasio na hatia. utaishi milele?
It really pain a lot
 
Wahusika kabla hawajaondoka duniani lzm watakinywea kikombe,hiki ni wangetumia uchawi wa kizungu,MTU akipiga kelele unamsogeza mezani akishiba utulia,ukishaoga damu ya MTU utotakata maisha yako yote,na utaishi kwa kuweweseka na huzuni kuu maisha yako yote
 
Kichaa jiwe anauwa sana watanzania



Swissme
Yatakuja kufunuliwa siku moja LAZIMA mkuu. Ninaamini kabisa kuwa shida ni ushamba. Hiyo ni namna nzuri ya kumelezea huyo mtu na utawala wake bila lugha kali zaidi!

Yani kumuuwa huyu kijana kwasababu ya kukosoa degree yake?

Nadhani wanasema wasukuma wanapenda sana misifa! Kwahiyo ndo maana! Hakutaka kuaibishwa eti ndo maana wakaamuwa hivyo.

Kina Bashite wanajuwa watalipa one day.
 
Yuko active kivipi mkuu? Uko fine kwenye matumizi ya mtandao?
Dot ya kijani kwenye profile pic, inamaanisha nini?
IMG_20181029_213542_991.jpeg
 
Dot ya kijani kwenye profile pic, inamaanisha nini?View attachment 915503
Good question mkuu. Lakini nadhani hiyo kwa wengine inaonekana kama "a check mark" ama alama ya tiki ya kijani, ambayo mara nyingi huwa ina indicate kuwa huyu ni "a verified member"

I stand to be corrected coz sijawahi kuona hiyo alama mimi binafsi. Na hiyo ya doti kama unavyosema, inamaanisha kuwa yuko online.

Good observations.
 
Good question mkuu. Lakini nadhani hiyo kwa wengine inaonekana kama "a check mark" ama alama ya tiki ya kijani, ambayo mara nyingi huwa ina indicate kuwa huyu ni "a verified member"

I stand to be corrected coz sijawahi kuona hiyo alama mimi binafsi. Na hiyo ya doti kama unavyosema, inamaanisha kuwa yuko online.

Good observations.
inonesha status kama hivyo. Hiyo ni kwa upande wa pp
IMG_20181029_214036_685.JPG
 
mkuu hebu weka screenshot. Pole ben kama bado upo hai. siamini kuwa hawa dhalimu waliondoa uhai wako.
Hili ni mojawapo ya bandiko alilokuwa akimjibu Ben...

TumainiEl said:
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
 
Back
Top Bottom