Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Mkuu, kwa sasa unatumia nini ku access JF? App au Browser?

Kuna mtu alisema kuwa, kama utatumia browser basi, inaweza ikaonyesha taarifa zilizo tofauti na vile ambavyo ukitumia App!!

Kwa kifupi ni kwamba, App ya JF ni kama vile ina bug sehemu fulani, na eti limeshaongelewa sana hili na mods!!

Kwahiyo kama mtu atataka kupata uhakika basi hana budi kutumia browser!!
 
Browser hapa nilipo for now. You might be right.

Wewe unatumia app?
 
dah aisee
Mategemeo yao(kutokana na hilo bandiko huyo jamaa) ni sisi tusahau na kudhani kwamba "Ben ameshakufa kama binadamu wengine"!

Hilo tunatakiwa tulikatae kwa nguvu zetu zote! Tukatae kusahau! Tukatae kusahau kwasababu tu wamekataa kumuachia au hata kuutoa mwili wake ili ndugu wakauzike kama binadamu wengine!
 
Kwa % nyingi sana huyu anausika na kupotea kwa ben
 
Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania.I love you more than words can wield the matter,dearer than eyesight,space and Liberty.Oh I love you Tanzania.My Pride ,My fountain of inspiration."
Ben Saanane, Brother, naona hisia za kweli ulizokuwa nazo juu ya Tanzania kwenye haya maneno, your truly an inspiration. I'm still praying for country.
 
Said Kubenea Mbunge wa Ubungo wa Chama chako nae anaamini Ben yupo kijiweni kajificha apate kick ya Kisiasa
Msimlishe maneno.... Alishasema gazeti lina taratibu zake na wahariri wake ma taarifa ikiandikwa huko sio necessarily iwe imeandikwa na kubenea ni sawa na kusema kila habari ya ITV imeandaliwa na mengi..... Tujitahidi kuseparate majukumu ya watu. Kama huyo Ben yuko kijiweni si polisi wamkamate wamsweke ndani sasa kipi kigumu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…