Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali


Ooh, My God!. Just like that, mtu mmoja anamnyamazisha mwenzie milele!

Hata Namba ya simu iliwekwa lakini hakuna lililofanyika? Mzee wa watu hana hili wala lile analoweza kufanya juu ya mwanae?
Hii mbona inasikitisha!
Kama kuna kuoneana duniani, hakuna kunakozidi aina hii ya kuonewa!
 
mhn!Interesting. Anyways, alama ya green dot kama ulivyosema, ni indication kuwa the person/member is currently online.
"Doubt" zake ziko sahihi!

Mods wanapaswa kufafanua ili kutupunguzia shaka watumiaji wa jukwaa hili.


Kwani inaonekana Leo tarehe 29/10/2018 SAA 22:42:03 account hii ya Ben Saanane ilikua online.

Ni vyema tukaelezwa je mods ndio wanayonywila ya I'd husika ama ni "watesi" wake ndio wanaitumia kwa sasa?


Wasiwasi ndio akili!!
 
Kwenye "status ya last seen" ndivyo inavyoonekana?
 
Ukitaka kujua last seen yake tumia web sio app
 
Ukitaka kujua last seen yake tumia web sio app
Nimekubali ushauri wako, lakini bado naamini katika "doubt'' juu ya matumizi ya account hiyo.

Muda tajwa ni kweli kwamba ilionekana ikiwa online.


Mods wanajukumu la kufafanua ili kuelezea huo utofauti Kati ya app na web na sababu zake hadi ionyeshe kwamba ID iko hewani, na kwanini Leo baada ya uzi huu kua active?
 

Hapo kabakia Heche tu wengine wote mmeshawamaliza.
Hii thread niwaambie ukweli 90% ya walioichangia walikuwa ni wazee wa kitengo..
 
Ukiangalia last seen ya mtu yeyote kwa kutumia app utamuona yuko online kwa maana kuwa dakika na sekunde unayoangalia ndio last seen yake. Ukitaka last seen ya uhakika tumia web.

Hilo ni suala ambalo mods wanapaswa kulifanyia kazi ili kuondoa sintosahau kama hizi.
 
Anyway!!

Nashukuru kwa ufafanuzi.


Mungu aendelee kumtunza na kumuhifadhi mpendwa wetu huyu popote alipo.
 
Angalia vizuri mwisho ni 2016 November mwezi aliopotea
 
Ukitumia web utaona kuwa last seen yake ni Nov.16, 2016
 
Huu uz huwa unauma sana asee hasa kila napouona,
moyo wangu unakuwa na simanz nakosa raha kabisa na najiuliza iv ikiwa mtu katoa taarifa polis na namba kaiweka hapo 0768797982 Je kwa nin jesh letu lisianzie hapo? Au wauwaj ndio hao wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…