Ebe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 811
- 972
Ambacho nimewahi kujifunza ktk umri wangu ni kwamba, UKATILI huwa watu wanafundishwa. Hakuna ambaye anazaliwa nao. Watu hujifunza kupitia kuona, kushiriki, au kufanyiwa mabaya kwa wapendwa wao au wao wenyewe ndipo watu huanza kuwa wakatili au waasi.
Matukio kama haya yanaweza kuleta mambo mabaya sana na kuvuruga amani ya Nchi husika.
Mungu tusaidie
Matukio kama haya yanaweza kuleta mambo mabaya sana na kuvuruga amani ya Nchi husika.
Mungu tusaidie