Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya sana huyu mtu!TumainiEli kumbe mmbaya hivi
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Ukisoma comments za baadhi ya wachangiaji humu utaona kabisa wanahusika na kupotea kwa Ben Saanane.[emoji22] [emoji22] Tuambie mlikompeleka Ben saanane
Nadhani niandike R.I.P BenHuyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Nawewe itukane serikali basiNapendaga majitu jasiri mimi
Meseji hizi nadhani zilitoka CDM penyewe wakiwa na mission ya kumaliza Ben
Na alitimiza haja ya moyo wakeHiyo post yake inatisha
haya; pumbaf sirikaliNawewe itukane serikali basi
Amen!Oh, Elohim
The Creator, I call you with your highest name that only your chosen ones know.
Oh Alhayyu Alqayuum
YaHuwa Yaa Manlaa Huwa Illa Huwa
Deliver Justice to Ben Saanane oh Adonai
Oh Lord of Arch Angel Michael
Oh Lord of Arch Angel Gabriel
Oh Lord of the Holly Messiah Christ
Oh Lord of our father Abraham
Oh Lord of the high Priest Melzedeck
I call upon your justice
Deliver Justice to Ben Saanane
Aamen