Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben type hata utujulie hali
Screenshot_20181030-094951.jpeg
 
Mkuu ondoa hiyo R.I.P,bado hakuna taarifa ya msiba,Mungu atakuwa kaweka mkono wake
 
sasa umethibitisha vipi kuwa statement za Gentacymine haziko sahihi

taratibu tu wala usipanick

maana kila kitu haujui

hata statement ya Gentcymine hauwezi ukaipinga au kuikubali pia
Kwa hapo nawezafikiria either kauwawa au kafichwa!

Lakini wenye jukumu la kuthibitisha ukweli wa wapi alipo Ben ni wenye dhamana ya usalama wake!

Gentamycine alitoa hukumu ya moja kwa moja kuwa Ben alikuwa anatafuta kiki,atuthibitishie sasa alipo ili kuhalalisha kauli yake kuwa ilikuwa kiki na halikuwa tishio dhidi ya maisha yake!
 
Namba hiyo inaonyesha ipo wapi yani alietuma ujumbe huo ailkua wapi mara ya mwisho anamtumia bensanane ujumbe?hata hilo limeshindikana kufuatilia
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Huyu ni mshukiwa namba1 napendekeza uchunguzi uanzie kwa uyu member!!!

Cc. Jeshi la Polisi tz
 
Kitabu gani ataandika mtu yuko too judgemental kiasi hiki? ( Sihukumu ila tu nawaza kwa sauti)
It's wise to spare/reserve some of your comments since you ain't the player.
Ni kweli kabisa akiba ya maneno ni muhimu.
 
Watu wasiojulikana bado hawajajulikana na hawatokuja kujulikana kwa sababu wanalindwa na watu wasiojulikana kupitia kivuli cha wazito wasiojulikana wanaowatuma kufanya mambo yanayojulikana
 
Watu wasiojulikana bado hawajajulikana na hawatokuja kujulikana kwa sababu wanalindwa na watu wasiojulikana kupitia kivuli cha wazito wasiojulikana wanaowatuma kufanya mambo yanayojulikana
Na kiongozi wao ni bashite bashite bashite Mungu hadhihakiwi yeye ndio head wa assasination he will rip what he sow
 
Sikuwahi Kuwaza Kama Wewe Jamaa Ni Zwazwa Hivi! Its Ok Ben Hayupo Sasa! Vp Umefurahi? Maisha Yanaendeleaj Hapo Lumumba?? Kuanzia Leo Nitakuw Nakuchukia Vibaya Sana.
 
Khadija Ngubio ndio nani?mwenye hiyo namba Ben aliitaja?
Hii case kuna alot of traces ndio maana kama inapelelezwa watuhumiwa watakamatwa asubuhi mapema.. kabla hata kuku hajanya
Hakuna taarifa zozote kutoka polisi kuhusu huyo Khadija Ngubio. Na Ben Saanane mwenyewe alisema kuwa alishatoa taarifa polisi. Lakini hakuna kilichofanyika. Ni wakati wa kuwashinikiza polisi kama ilivyokuwa kwa Mo.
 
Ben Saanane said:
Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.
Hivi hata ndugu wa Ben walishawauliza polisi kama walifuatilia hii namba na matokeo yake ni nini? Yani vitisho vyenyewe kama hivi tayari si makosa ya jinai?

Ben anasema "alimshukuru" kisha akawapa polisi hiyo namba.

Je ubaya wa Ben uko wapi hadi astahili kutekwa, na pengine kuteswa na kuuwawa?

Ni wakati wa chadema kulisimamia hili!Kuanzia na wale waliomfanyia vitisho, kwasababu hilo nalo ni kosa. Tuanzie hapo.

Justice must be done. Siyo vyema kuendelea na business as usual na wakati Mo alipotekwa kila mtu alijifunga kibwewe?
 
This is low. Hata hiyo avatar ya Malcom X kwa mawazo haya unaidhalilisha.

Unaweza kuitoa mkuu hiyo AVATAR, weka unayoitaka

Sasa wewe na Tupac Shakur mnaendana? Tupac shakur hawezi kuwa chadema, kamwe?

umedandia gari kwa mbele, nimemuuliza basis za kukataa statement ya Gentacymine, HANA

Kila SWALI KASEMA 'MPAKA POLISI WASEME" sasa kama yeye hana majibu anaweza kumtuhumu mtu? kaogopa kusema anachokiwaza, he is coward....

SASA wewe mwenye heshima, ukarukia, i provokoded him aseme anachokiwaza, ALIVYOJIBU MASWALI VIBAYA ndio conclusio ikawa hiyo

Haya maadamu umekuja kusaidia jahazi haya ebu sema sasa Ben Saanane yuko wapi?? sema bila uoga na weka evidence hapa, usipofanya hivyo utanishangaza
 
Back
Top Bottom