Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ninawaza kiroho, ya kwamba Mungu asiipumzishe mpaka atakapohitimisha kazi yake ya kuwaweka alama ya kudumu watesi wake ili muhukumu atende naye kazi yake. Nawaza tu kiroho

Mwenyezi Mungu ni lini utawaumbua waliomdhuru Ben Saanane ili ulimwengu wote ujue. Halafu na nyie mliompoteza Ben, hivi kila jumapili mnaenda kanisani kufanya nini?

Naomba Watanzania tufanye maombi kila siku mpaka Mwenyezi Mungu atakaposikia kilio chetu.
 
Ndo maana halisi ya ushamba aliosema Zitto .Yani wao wanadhani wakisema "tumejenga SGR" au sijui "flyover", basi ndiyo justification ya kusahau utu na maisha ya binadamu wengine. Hawajiulizi kama hayo yangefanya kazi, basi wananchi wote wa Libya wangempenda Ghadafi kuliko hata mungu wanayemwabudu kwa namna ambavyo alifanya mambo makubwa kule Libya. Kutokuweza kuona hili kunaweza kukawa kumechangiwa na ushamba.

Sidhani kwamba eti kama kuna vitu vya maendeleo vimefanyika, basi ndiyo iwe kigezo cha kusahau huu unyama.

Haya ya haki kutendeka yatawezekana only hawa wakitoka madarakani.

Daaah you pointed the truth man... USHAMBA!

Ni rahisi kutafakari ukiwa huna ushamba akilini mwako. Ni rahisi kujiuliza mfano nikikukata mkono then nikakununulia gari jee hilo litatosha kukupa furaha??
Ushamba wa hali ya juu
 
Kwa kauli hii mkuu, umeelewa vyema kabisa. Ndivyo hivyo hivyo kabisa akili za kishamba zinavyo function. Umepatiaa!
 
KWELI TUNAKAA KIMYA KWA HILI??? WATANZANIA TUMELOGWA NA NANI?? MWENZETU NI MWAKA WA NGAPI HATUMWONI AU KWA SABABU SI TAJIRI KAMA MO/ AU KWASABABU NI MWEUSI KAMA SISI SI MWARABU?? WATANZANIA WENZANGU TUJITAFAKARI KWA HILI TUMEKOSEA SANA TUNAHITAJI TUPIGE KELELE TUJUE YUKO WAPI MWENZETU TOKA APOTEE, NI WENGI WAMEPOTEA MACHONI MWETU LAKINI TUMEKAA KIMYA KILA MTU ANAENDELEA NA MAISHA YAKE YAANI NI KAMA HAWAJAPOTEA...WATZ WENZANGU ALIPOPOTEA MO TULITOKA TUKAPIGA KELELE SIKU CHACHE AKARUDI MBONA SI WENGINE AU KW SABABU SI NDUGU ZETU WA UKOO MMOJA? / AU KWASABABU SI WA CHAMA CHETU???

EHEEEEE MUNGU TUSAMEHE TUMEKUWA NA MIYO MWEYEPESI SANA TUMERIDHIKA NA YALE MABAYA TUYAONAYO NA VILE KWA SABABU SI NDUGU ZETU, BASI TUMEACHA FAMILIA ZAO ZILIE ZENYEWE...VIONGOZI WETU KIMYA NI KAMA HAYAWAHUSU HAYA, NI KAMA KILA SIKU KWAO NI KAMA HAKUNA HUZUNI KWA WENYE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZA HAO AMBAO MPAKA LEO HATUJUI WAPO HAI/WAMEKUFA..

TUSAMEHE MUNGU KWA NIABA YA WOOTE...TUPE ROHO YA UCHUNGU KWA WENZETU HAWA. KWANI SIJUI MKEWE BEN SAANANE AMEUMIAJE, MTOTO WAKE JE? MKE WA AZORY ANAJISIKIAJE MDA HUU? ANAISHIJE NA UAMSIKUTE ALIKUWA ANAMTEGEMEA MUME WAKE LEO HII HATA KABURI HAJUI LIKO WAPI...EHEEE MUNGU WEEEEEEE NAJARIBU KUWAZA AU KWA SABABU HAYAJATUFIKIA NDANI YA FAMILIA ZETU NA NDIYO MAANA HATUONI UCHUNGU WA HAYA???

MUNGU ENDELEA KUTUSAMEHE

AMEN!!
 
Ila ukifuatilia mambo ya huyu ndugu hapa JF pekee motives zipo nyingi ;

Mfano ; alikua na kandarasi na balozi ya eneo lililojitangazia uhuru wake toka Morocco nani anajua nini kimempata
Mungu akusamehe
 
Mkt Chadema anajua sana kudeal na wabaya wake,anatengeneza mazingira kuonyesha una ugomvi na serikali then anakushukia, unapotea halafu anarudi forefront kupiga yowe dhidi ya serikali.
 
Umerudi kwenye story

Ben saa nane, msaidizi wa Mbowe yuko wapi?

unaanza kuikana chadema mkuu, sio vizuri
 
Dah sala yako imeniliza hasa ulipokumbushia kifo cha KAMANDA mawazo pale KATORO geita napata huzuni sana We Mungu usieshindwa kitu twakuomba uwape azabu huyu jiwe na washenzi wenzake wanaoisumbua Tanzania yetu kisa haya madaraka ya kupola ameen
 
Mkt Chadema anajua sana kudeal na wabaya wake,anatengeneza mazingira kuonyesha una ugomvi na serikali then anakushukia, unapotea halafu anarudi forefront kupiga yowe dhidi ya serikali.
Sasa kama serikali inajua Mbowe ndio anahusika kwanini isimkamate? Tena vizuri upepelezi ungeanzia kwenye namba ya simu hiyo.
 
Dah sala yako imeniliza hasa ulipokumbushia kifo cha KAMANDA mawazo pale KATORO geita napata huzuni sana We Mungu usieshindwa kitu twakuomba uwape azabu huyu jiwe na washenzi wenzake wanaoisumbua Tanzania yetu kisa haya madaraka ya kupola ameen
🙏🏾🙏🏾
 
Back
Top Bottom