ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,465
Nimekuuliza mbona hauulizi habari ya Lissu,au nayeye unataka nithibitishe kama alipigwa risasi!?sasa umethibitisha vipi kuwa statement za Gentacymine haziko sahihi
taratibu tu wala usipanick
maana kila kitu haujui
hata statement ya Gentcymine hauwezi ukaipinga au kuikubali pia
Kwa hapo nawezafikiria either kauwawa au kafichwa!sasa umethibitisha vipi kuwa statement za Gentacymine haziko sahihi
taratibu tu wala usipanick
maana kila kitu haujui
hata statement ya Gentcymine hauwezi ukaipinga au kuikubali pia
Sasa a type nn we huoni iyo last seen ni ya kwako ww fungua web/browser uingie JF kisha uangalie Last seen yake!!?Ben type hata utujulie haliView attachment 915863
Huyu ni mshukiwa namba1 napendekeza uchunguzi uanzie kwa uyu member!!!Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Sim yako labda Inaonyesha vivyoSasa a type nn we huoni iyo last seen ni ya kwako ww fungua web/browser uingie JF kisha uangalie Last seen yake!!?
acha kupotosha last seen ni Nov 2016Ben type hata utujulie haliView attachment 915863
Ni kweli kabisa akiba ya maneno ni muhimu.Kitabu gani ataandika mtu yuko too judgemental kiasi hiki? ( Sihukumu ila tu nawaza kwa sauti)
It's wise to spare/reserve some of your comments since you ain't the player.
Na kiongozi wao ni bashite bashite bashite Mungu hadhihakiwi yeye ndio head wa assasination he will rip what he sowWatu wasiojulikana bado hawajajulikana na hawatokuja kujulikana kwa sababu wanalindwa na watu wasiojulikana kupitia kivuli cha wazito wasiojulikana wanaowatuma kufanya mambo yanayojulikana
This is low. Hata hiyo avatar ya Malcom X kwa mawazo haya unaidhalilisha.sasa umethibitisha vipi kuwa statement za Gentacymine haziko sahihi
taratibu tu wala usipanick
maana kila kitu haujui
hata statement ya Gentcymine hauwezi ukaipinga au kuikubali pia
Hakuna taarifa zozote kutoka polisi kuhusu huyo Khadija Ngubio. Na Ben Saanane mwenyewe alisema kuwa alishatoa taarifa polisi. Lakini hakuna kilichofanyika. Ni wakati wa kuwashinikiza polisi kama ilivyokuwa kwa Mo.Khadija Ngubio ndio nani?mwenye hiyo namba Ben aliitaja?
Hii case kuna alot of traces ndio maana kama inapelelezwa watuhumiwa watakamatwa asubuhi mapema.. kabla hata kuku hajanya
Ipo siku!Dah, kuna watu wanaroho mbaya sana duniani humu, lakini lazima tu wataumbuka ipo siku litatokea anguko kuu na Comrede Benn wont go in vain. Hakika udhalimu huu utalipwa.
Hivi hata ndugu wa Ben walishawauliza polisi kama walifuatilia hii namba na matokeo yake ni nini? Yani vitisho vyenyewe kama hivi tayari si makosa ya jinai?Ben Saanane said:Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.
This is low. Hata hiyo avatar ya Malcom X kwa mawazo haya unaidhalilisha.