Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Mungu yupo, waliokutengea mabaya watalipwa hapa hapa dunia. Mungu awape moyo wa faraja ndugu zako na familia yako.​
 
Ben ukweli ulisema as long bado tupo hai tutaandika tutasema tu Magufuli aliidhinisha upo tee kwenye uso wa dunia imempa faraja ya siku lakini rohoni hatakusahau maana auwaye kwa upanga ataondoka kwa upanga
 
Huyu alilazimisha kutendwa! Naona na Bw Heavy naye anafuata nyayo kwa kasi ya ajabu. Atafutaye hupata
 
Huyu alilazimisha kutendwa! Naona na Bw Heavy naye anafuata nyayo kwa kasi ya ajabu. Atafutaye hupata
Uzuri watendaji kwenye ulimwengu huu wametendwa vivyo Tena kwa dharili na pasiwepo na vizazi vyao walikuwepo akina hilterer walitenda kama hawa watendavyo leo hata kabuli lake halijulikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…