Hivi nyinyi maccm mkoje?Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Ni kweli kabisa Mkuu.Utashangaa hamna anaekamatwa na akikamatwa usitarajie kutakuwa na kesi ya maana.
Umemaliza?Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Tatizo ni kwamba huyo anayewatuma hitman na hitman wenyewe wanatumia mbinu za kizamani.Hitman afanyi kazi kibwege hivo yaani akupe taarifa wewe nani, halafu hakuna cha ajabu na ulichoandika ambacho kinaweza kuifanya serikali itetereke
After all Tanzanian we don't kill for nothing sana sana tuna kutesa kisaikolojia tu.
Huwezi kuamini kwamba tunao watu wajinga, wapumbavu na waliosinyaa kama huyu TumainiEl...sijui tuna laana gani Tanzania kuwa na raia wa nchi hii walio waovu kiasi hiki. Unadhani wewe huwezi kufa? Unadhani utaishi milele? Shenzi waahedi.Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali