Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Hizi hasira zako unamtolea nani sasa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamuulize Mdude sasa hivi anapigwa na kabaridi pekee ake bila wale wakiokuwa wanalike matusi yake.

Dunia ina kanuni zake za kuishi dogo. Uwe unafikri nje ya box
 
Ni kiherehere chake nani alimtuma

Ni kiherehere chake nani alimtuma
Mfalme ana phd ya kughushi. Hilo haliwezi kubadilika kwa kutoa uhai wa anayemuumbua.

Na unaandika kwa kujiamini kweli kweli kama ibilisi fulani asiye na ubongo. Damn!

Huyu mfalme wa Danganyika Republic ni zaidi ya Mungu!

Hata ukijamba anakufyeka kichwa!
 
Ila anakuongoza ww na ukoo wenu wote iliwamo mmeo lisu
Anakuongoza wewe msukule mwenye chupi ya kijani kwenye hiyo Danganyika Republic (a supposedly dona kantri in magufuli's delusional alternative reality).

Unamuabudu mfalme mpaka unatamani akujaze mimba ya ofa.

Unitake radhi, viwango vyangu ni vya juu mno najisikia kinyaa hata kulisikia jina la huyo mlugaluga asiyeweza kuzungumza japo Kiswahili (achilia mbali kuongozwa nae).

Sijui unanielewa we mzee?
 
anaionea aibu hiyo post yake, hajawahi kuijibu(kuitetea)hata mara moja
Yaani huyu jamaa nimeanza kumjua vzur juz kwenye kurasa ya michezo bahati mbaya zaidi naiona comment take kwenye hii post yan daaaah🚶🚶🚶
 
Kila nikiona hili bandiko naishiwa nguvu,naitafakari nchi yangu na sipati majibu!Nawaza kama ningepewa super powers na nikawajua wahusika,walah hakuna mtu angerudia kufanya unyama kama huu!
Mkuu inakuwaje bro. Hii ishu ya Ben inaniuma sana. You can't take someone's life in vain like that.

Mkuu bado hupo Mafia kisiwani. Nakumbuka uzi wako uliletaga miaka ya nyuma kuhusu huko.
 
Pole sana. Kwa Mungu kila kitu kitalipwa, kizuri na kibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…