Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Hakuna kuonesha utu kwa mpuuzi nilimshauri sana ben mara makamba hakusoma mara mwigulu mara magufuli alijifanya yeye ndio kasoma .pumbavu zake yule dogo
Ile sala kuu ya Kikatoliki ina maneno "utusamehe makosa yetu kama sisi tunavyowasamehe waliotukosea"...kama wewe ni Mkatoliki.
 
Mbona sauti kama ya musiba
 
Bimadamu bwana, yaani huyu Mwamba maneno tu! Maneno tu! Hakuwahi hata kunyanyua mkono kusema apigane, aliongea tu, dah.

Kumbe kweli maneno ni sumu na yanaua ingawa Mimi siwezi kutoa uhai wa mtu ili kufidia maneno!!

MANENO BWANA.

R. I. P Bro, utuandalie makao huko uliko na utopokee sote kwa moyo mweupe kutia ndani waliokutanguliza.
 
Kuna jamaa kule kwenye Andiko lako la kuihadhari serikali kutotumia TISS kuwakamata au kuwadhuru raia wake ameandika wewe ndio muuaji ila sasa umetupwa nje ya box ndio maana unabwabwaja, akaulizwa kama anakujua akajibu tuje kukuangalia kwenye post Za Ben saanane nimekuja kumbe ni kweli kabisa. Dah asee sasa Ben yuko wapi Mkuu TumainiEl
 
Duh.. Jamaa anajina la kipooole kabisa ila kumbe sio.
 
RIP Ben Saanane, Mwenyezi Mungu akashushe upanga wa moto kwa wauaji wako, watoto na wajukuu wao.
Wakaishi maisha ya dhiki na kutangatanga na kutengwa na kila kiumbe.
Mola wanyime usingizi kabisa, wawe ni watu wa kuzongwa na mawazo usiku kucha!
Hakika siyo kazi yetu kuhukumu ila natamani hii dua ikakubaliwe.

Inaumiza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…