Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Mkuu funguka kidogo tupate story kamili ya ben
Itahitajija tume ya ukweli na maridhiano ,kuweza kupatanisha mambo yooote yaliyofanyika ndani ya miaka sita takribani , hiyo ndio "Bei" ya katiba mpya .....aliyotuasa Nyerere kuwa tunahitaji ili kuzuia asije kuingia mtu mbaya akaitumia vibaya ....
Uzuri sasa kila mmoja ameona na hataki tena mtu wa aina hiyo hata afikiriwe na chama chochote kugombea Urais .
Pengine issue ya katiba inarudi kwa kasi , tume ya uchaguzi na pengine uchaguzi unarudiwa
 
Bila shaka hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ngoje episode za mitandaoni zitamatishwe then watu waanze kufukua makaburi.
 
Mkuu hebu tutoe tongo tongo sisi tulio gizani hata kwa mafumbo

Uchaguzi utarudiwa kivipi?
 
Kwanini hii post ya Ben haikupata comments tangu Sept.19.2016 - July.18.2018 takriban mwaka mzima
 
Mitandao ubarikiwe. JF ubarikiwe. Ukisoma andishi la Ben na kuangalia na kilichotekea, bila mtandao tungejua wapi yaliyokuwa yanamsibu?

Tungesikia wapi anvyoililia nchi yake, mpenzi wake Tanzania?

It's sad.
 
Mitandao ubarikiwe. JF ubarikiwe. Ukisoma andishi la Ben na kuangalia na kilichotekea, bila mtandao tungejua wapi yaliyokuwa yanamsibu??
Tungesikia wapi anvyoililia nchi yake, mpenzi wake Tanzania??
It's sad.
Tukishapata katiba mpya, M. Melo atapaswa kupewa tuzo/nishani ya heshima ya juu kabisa ya Tanzania iliyo haki na huru
 
Mitandao ubarikiwe. JF ubarikiwe. Ukisoma andishi la Ben na kuangalia na kilichotekea, bila mtandao tungejua wapi yaliyokuwa yanamsibu??
Tungesikia wapi anvyoililia nchi yake, mpenzi wake Tanzania??
It's sad.
Very sad!
 
Kumbe watu ni wakatili hivi?
 
"Nakupenda mpenzi wangu Tanzania"

2016-Ben acha uzushi/uongo nk.

2021-Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…