Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu funguka kidogo tupate story kamili ya benHUYU JAMAA ALIMMALIZA KWA BASTOLA YAKE MWENYEWE .....WASAIDIZI WAKALETA BODY BAG ...WAKAENDA KUMWAGIA ACIDI KAMA LUMUMBA ...KUNA SIMULIZI NYINGI NA ZA KUTISHA ........
Itahitajija tume ya ukweli na maridhiano ,kuweza kupatanisha mambo yooote yaliyofanyika ndani ya miaka sita takribani , hiyo ndio "Bei" ya katiba mpya .....aliyotuasa Nyerere kuwa tunahitaji ili kuzuia asije kuingia mtu mbaya akaitumia vibaya ....Mkuu funguka kidogo tupate story kamili ya ben
Bila shaka hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ngoje episode za mitandaoni zitamatishwe then watu waanze kufukua makaburi.Itahitajija tume ya ukweli na maridhiano ,kuweza kupatanisha mambo yooote yaliyofanyika ndani ya miaka sita takribani , hiyo ndio "Bei" ya katiba mpya .....aliyotuasa Nyerere kuwa tunahitaji ili kuzuia asije kuingia mtu mbaya akaitumia vibaya ....
Uzuri sasa kila mmoja ameona na hataki tena mtu wa aina hiyo hata afikiriwe na chama chochote kugombea Urais .
Pengine issue ya katiba inarudi kwa kasi , tume ya uchaguzi na pengine uchaguzi unarudiwa
Mkuu hebu tutoe tongo tongo sisi tulio gizani hata kwa mafumboItahitajija tume ya ukweli na maridhiano ,kuweza kupatanisha mambo yooote yaliyofanyika ndani ya miaka sita takribani , hiyo ndio "Bei" ya katiba mpya .....aliyotuasa Nyerere kuwa tunahitaji ili kuzuia asije kuingia mtu mbaya akaitumia vibaya ....
Uzuri sasa kila mmoja ameona na hataki tena mtu wa aina hiyo hata afikiriwe na chama chochote kugombea Urais .
Pengine issue ya katiba inarudi kwa kasi , tume ya uchaguzi na pengine uchaguzi unarudiwa
Na iwe hivyo kwa wahusika woteRIP Ben Saanane, Mwenyezi Mungu akashushe upanga wa moto kwa wauaji wako, watoto na wajukuu wao.
Wakaishi maisha ya dhiki na kutangatanga na kutengwa na kila kiumbe.
Mola wanyime usingizi kabisa, wawe ni watu wa kuzongwa na mawazo usiku kucha!
Duhh [emoji29][emoji29][emoji29]HUYU JAMAA ALIMMALIZA KWA BASTOLA YAKE MWENYEWE .....WASAIDIZI WAKALETA BODY BAG ...WAKAENDA KUMWAGIA ACIDI KAMA LUMUMBA ...KUNA SIMULIZI NYINGI NA ZA KUTISHA ........
Kwa hiyo bado amejiteka?Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Wait a minute! This crazy 😝 🤦🏾♂️Crazier if true.HUYU JAMAA ALIMMALIZA KWA BASTOLA YAKE MWENYEWE .....WASAIDIZI WAKALETA BODY BAG ...WAKAENDA KUMWAGIA ACIDI KAMA LUMUMBA ...KUNA SIMULIZI NYINGI NA ZA KUTISHA ........
AminaPopote ulipo Ben pole sana, Mungu ni mwaminifu ipo siku hawa mashetani pamoja na mungu wao wa ccm watasulubiwa.
Tukishapata katiba mpya, M. Melo atapaswa kupewa tuzo/nishani ya heshima ya juu kabisa ya Tanzania iliyo haki na huruMitandao ubarikiwe. JF ubarikiwe. Ukisoma andishi la Ben na kuangalia na kilichotekea, bila mtandao tungejua wapi yaliyokuwa yanamsibu??
Tungesikia wapi anvyoililia nchi yake, mpenzi wake Tanzania??
It's sad.
Very sad!Mitandao ubarikiwe. JF ubarikiwe. Ukisoma andishi la Ben na kuangalia na kilichotekea, bila mtandao tungejua wapi yaliyokuwa yanamsibu??
Tungesikia wapi anvyoililia nchi yake, mpenzi wake Tanzania??
It's sad.
Kumbe watu ni wakatili hivi?Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Fundi sanaRIP Bro kitu cha kufahamu ni kua
Mungu ni Fundi. Wasipotajana duniani watakutana ahela.