RIP Ben!?? nani ana hakika Ben alifariki?Amri kuu ni upendo
Watu wangeifata dunia ingekua sehemu salama ya kuishi
Tusinge ombeana mabaya wala kuua ndugu zetu
RIP Ben....
Awe salama pia popote alipo Rais wetu JPM
But karma is real
Utabiri wako ni kuhusu upinzani? Au ni mtabiri tu kiujumla? Kuna jambo nahitaji kujua bwana mtabiriNdugu kuna kukosoa lakini Ben alifika alipo fika mm nilitabiri ila sina hata alama naye. Nanimetabiri mengi je ujayaona kosoa ila usiguse kusipoguswa.
soma uzi wangu ninanguvu za ajabu.. Mbona uhulizi kifo cha chadema nilicho tabiri 13.03.2016...
Kwa nguvu hizo za ajabu ukifanya collabo na Mshana Jr itakua boooom!!!!Kwanza nikusahihishe nani kakwambia kuna dam ilimwagwa? Maana hakuna taarifa Ben kauwawa ila kapotea. Mwisho amini ninachokwambia nina nguvu za ajabu. Kuona mambo before hayajatokea.
Mkuu, Bwana Mtabiri akikujibu niite tafadhari, niko around natafuta NYAGI DRY.Utabiri wako ni kuhusu upinzani? Au ni mtabiri tu kiujumla? Kuna jambo nahitaji kujua bwana mtabiri
OPEN YOUR EYES BRO!RIP Ben!?? nani ana hakika Ben alifariki?
Ulikuwa hujui hilo kuwa hata wewe utamkuta ahela upende usipendee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hope atatabiri baada ya hiyo nyagi nini kitatokea, i guess utazima, utabebwa na bajaji hadi hadi kwako, huku ukiwa na kiatu kimoja.Mkuu, Bwana Mtabiri akikujibu niite tafadhari, niko around natafuta NYAGI DRY.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ben aliyekutanguliza nasikia naye hoi...kashatanguliza mguu mmoja anataka kuja huko!! Akifika tu mpeni kalinye la maana!!
Nina imani Ben yupo hai, sidhani alifanya kosa ama dhambi ya ajabu kutolewa uhai.Mods wekeni kumbukizi ya Ben nashauri iwe 18.September ya kila mwaka kwakua ndio ilikua post yake ya mwisho, ata kama yupo hai na siku akirudi inshallah, itakua heshima kubwa sana kwake..iwe ya hapahapa jf tarehe hiyo kila member anakua notified naamini inawezekana
Ha a haa ha ha haa! Mkuu nilirudi salama wa salimini ingawa kidogo ninyooshe ktkt ya round about ila Mungu Mkubwa nilinyunyiza break kidogo na kupita kulia badala ya kushoto maana kushoto nisingewahi mkono wa kushoto mzito kidogo, ilikua saa saba hivi niko Chakali.Hope atatabiri baada ya hiyo nyagi nini kitatokea, i guess utazima, utabebwa na bajaji hadi hadi kwako, huku ukiwa na kiatu kimoja.
Ntakuita.
Mkuu hata wewe ukienda gerezani achilia kufa, Mkeo kabisa unayelala nae na kuamka nae atahangaika na wewe zile visiting day za mwanzo tu may be akijitahidi sana ni mwaka mmoja tu, baada ya hapo utashangaa humuoni tena akija gerezani., na siku ukitoka gerezani hutoamini yalivyobadilika.Eti kama utani vile siku hizi hata Mbowe & Lissu hawamzungumzii huyu ndugu yetu
Big Brain Ben Saanane ametoweka,inasikitisha,ameacha mtoto mdogo sana.Very sorry 😢
Kwahiyo huyu jamaa alishiriki hili tukio?Ametumbuliwa siku hizi anayo akili
Mbowe aliwahi kuzungumzia kutoonekana kwa Ben?!Eti kama utani vile siku hizi hata Mbowe & Lissu hawamzungumzii huyu ndugu yetu