Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Amri kuu ni upendo
Watu wangeifata dunia ingekua sehemu salama ya kuishi

Tusinge ombeana mabaya wala kuua ndugu zetu

RIP Ben....
Awe salama pia popote alipo Rais wetu JPM

But karma is real
RIP Ben!?? nani ana hakika Ben alifariki?
 
Ndugu kuna kukosoa lakini Ben alifika alipo fika mm nilitabiri ila sina hata alama naye. Nanimetabiri mengi je ujayaona kosoa ila usiguse kusipoguswa.
soma uzi wangu ninanguvu za ajabu.. Mbona uhulizi kifo cha chadema nilicho tabiri 13.03.2016...
Utabiri wako ni kuhusu upinzani? Au ni mtabiri tu kiujumla? Kuna jambo nahitaji kujua bwana mtabiri
 
Ulikuwa hujui hilo kuwa hata wewe utamkuta ahela upende usipendee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena hata woga wala waswas sina kwa sababu sikutuma barua ya maombi ya kuzaliwa duniani😀😀😀😀😀😀
It was just unfortunetly. Nikajikuta nipo huku sa ntaogopaje kurudi nlikotoka😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Cjui nyie mnaeogopa hadi kuannounce maaamaaaee kimeumana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Mkuu, Bwana Mtabiri akikujibu niite tafadhari, niko around natafuta NYAGI DRY.
Hope atatabiri baada ya hiyo nyagi nini kitatokea, i guess utazima, utabebwa na bajaji hadi hadi kwako, huku ukiwa na kiatu kimoja.
Ntakuita.
 
Huyu kigogo jamani, mbona anatoa code nzito tyuuh.
FB_IMG_16156609447998910.jpg
 
Mods wekeni kumbukizi ya Ben nashauri iwe 18.September ya kila mwaka kwakua ndio ilikua post yake ya mwisho, ata kama yupo hai na siku akirudi inshallah, itakua heshima kubwa sana kwake..iwe ya hapahapa jf tarehe hiyo kila member anakua notified naamini inawezekana
 
Nina imani Ben yupo hai, sidhani alifanya kosa ama dhambi ya ajabu kutolewa uhai.
 
Hope atatabiri baada ya hiyo nyagi nini kitatokea, i guess utazima, utabebwa na bajaji hadi hadi kwako, huku ukiwa na kiatu kimoja.
Ntakuita.
Ha a haa ha ha haa! Mkuu nilirudi salama wa salimini ingawa kidogo ninyooshe ktkt ya round about ila Mungu Mkubwa nilinyunyiza break kidogo na kupita kulia badala ya kushoto maana kushoto nisingewahi mkono wa kushoto mzito kidogo, ilikua saa saba hivi niko Chakali.

Vipi Mtesi wa Ben Saanane alirudi uzini au kaamkia Chapel kwanza?
 
Eti kama utani vile siku hizi hata Mbowe & Lissu hawamzungumzii huyu ndugu yetu
Mkuu hata wewe ukienda gerezani achilia kufa, Mkeo kabisa unayelala nae na kuamka nae atahangaika na wewe zile visiting day za mwanzo tu may be akijitahidi sana ni mwaka mmoja tu, baada ya hapo utashangaa humuoni tena akija gerezani., na siku ukitoka gerezani hutoamini yalivyobadilika.
 
Back
Top Bottom