Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali


Una maana rais wa nchi alikuwa na mkono wake kwenye kupotea kwa Ben?
 
zitto junior JokaKuu Erythrocyte ....Mbowe na Chadema wamebakia kimya kuhusu suala la Saanane hata baada ya JPM kufariki.
 
zitto junior JokaKuu Erythrocyte ....Mbowe na Chadema wamebakia kimya kuhusu suala la Saanane hata baada ya JPM kufariki.

..wanaopaswa kulaumiwa ni MAMLAKA ZA UCHUNGUZI kwani wanazo taarifa juu ya kupotea kwa Ben Saanane.

..Chadema, Mbowe, Lissu, Mnyika, wamepiga kelele sana na ndio maana leo hii umma unajua kuhusu kupotea kwa Ben Saanane.

..Moja ya mambo ambayo Chadema wanayataka kwenye maridhiano ni kuundwa kwa Tume ya Haki, Ukweli, na Upatanishi, itakayoangazia masuala ya uonevu na uvunjwaji wa haki za binadamu kama kilichotokea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, etc.
 
Walioshiriki Kumuua Ben wote wataondoka na vifo vya Taabu sana angali wakiwa Vijana,Haiwezekani uue mtu mweye A+ Flat kuanzia Form Four hadi Chuo kikuu kisa kuchallenge Phd feki ya Kutu za Maganda ya Korosho.
Kwa hakika nabii si Lema peke yake
 
wewe ni chawa nahujielewi, vatar yako inajielekeza hivyo:
Umehusisha kupotea kwake na elimu, how?
 
..Moja ya mambo ambayo Chadema wanayataka kwenye maridhiano ni kuundwa kwa Tume ya Haki, Ukweli, na Upatanishi, itakayoangazia masuala ya uonevu na uvunjwaji wa haki za binadamu kama kilichotokea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, etc.
Nitaungana nao kwa 100% kama hiyo tume itaanza kazi kuanzia nyuma kabla ya awamu ya 5.
 
Upumbavu huu uliouandika hapa,hii inaonyesha wewe ni jitu katili, shetani na usiyejali kabisa wajibu wa kisheria, kama dictator magu angeona amevunjiwa heshima yake kuhusiana na elimu yake (yes kasomea CM&Ed pale Mkwawa CNE, sorry ladies ila hii combination iliitwa ng'ombe, huwezi kulinganisha na PM au PC)angetumia mawakili wake kwenda kwa court SIO kupeleka henchmen to silence Mr. SAANANE, magu ni cold blood killer
 
CHADEMA wanataka sawa... Mbowe atakubaliana na mnayotaka akiwa kama mmiliki wa chama?
 
Tatizo lenu mkishauriwa kabla ya matatizo mnajiona mashujaa.. kuna ushujaa gani wa kujiingiza kwenye matatizo kwa mambo binafsi yasiyokuhusu? Kwanini mnajidanganya kuhusu nguvu alizo nazo Rais... ingawa bado hatuna uhakika wa sababu iliyofanya Beni apotee lakini hii ishu ya kuhoji elimu ya rais inapewa nguvu zaidi kuliko sababu nyingine. Tukumbuke Rais ana familia, ndugu, jamaa, marafiki, na wafuasi wake wa kisiasa. Je, makundi yote hayo yaliridhishwa na kudhalilishwa kwa mpendwa wao? Vijana wa CHADEMA hakuna ushujaa wowote kwenye uhai wako. Linda uhai wako kuliko kitu chochote. Hamuoni kina Lema na Lissu wanavyokimbia wakiona hatari?
 
Shida huyu mwamba alivuka mipaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…