Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

😂😂😂maisha bwana. naye akaambiwa, “ Utajikuta mwenyewe na chatu” ANDIKA BEN ANDIKA.😂😂😂.
Akaja akaandika na namba ya simu. Akaipeleka na polisi. Na wakamchukua, hatujui yu hai au katutangulia.
Somo ni nini hapa vijana wenzangu.
KAMA MNA HULKA ZA KIMAPINDUZI, ZIFANYENI KWA STAHA. NI WACHACHE SANA WAMEPITA MIKONO YA DOLA KWA KEBEHI MAJIGAMBO NA KUJIAMINI. MAANA MWENYE NGUVU HAPENDI DHARAU KAMA WEWE MBELE YA WANYONGE WAKO.
Tuwe watu wa movement ila tuwe na staha. Lets move for change but not playing with minds of people.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]maisha bwana. naye akaambiwa, “ Utajikuta mwenyewe na chatu” ANDIKA BEN ANDIKA.[emoji23][emoji23][emoji23].

Kweli nimekuelewa vyema.
Hawa vijana wa BAVICHA huamini harakati ni matusi dharau na Majigambo.

Unaambiwa
Muogope Mungu na Mtu mwenye Madaraka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]maisha bwana. naye akaambiwa, “ Utajikuta mwenyewe na chatu” ANDIKA BEN ANDIKA.[emoji23][emoji23][emoji23].
Akaja akaandika na namba ya simu. Akaipeleka na polisi. Na wakamchukua, hatujui yu hai au katutangulia.
Somo ni nini hapa vijana wenzangu.
KAMA MNA HULKA ZA KIMAPINDUZI, ZIFANYENI KWA STAHA. NI WACHACHE SANA WAMEPITA MIKONO YA DOLA KWA KEBEHI MAJIGAMBO NA KUJIAMINI. MAANA MWENYE NGUVU HAPENDI DHARAU KAMA WEWE MBELE YA WANYONGE WAKO.
Tuwe watu wa movement ila tuwe na staha. Lets move for change but not playing with minds of people.
Cheki huyu anafurahia binadamu mwenzake kupata matatizo kisa mamlaka haya ya kidunia
 
[emoji23][emoji23][emoji23]maisha bwana. naye akaambiwa, “ Utajikuta mwenyewe na chatu” ANDIKA BEN ANDIKA.[emoji23][emoji23][emoji23].
Akaja akaandika na namba ya simu. Akaipeleka na polisi. Na wakamchukua, hatujui yu hai au katutangulia.
Somo ni nini hapa vijana wenzangu.
KAMA MNA HULKA ZA KIMAPINDUZI, ZIFANYENI KWA STAHA. NI WACHACHE SANA WAMEPITA MIKONO YA DOLA KWA KEBEHI MAJIGAMBO NA KUJIAMINI. MAANA MWENYE NGUVU HAPENDI DHARAU KAMA WEWE MBELE YA WANYONGE WAKO.
Tuwe watu wa movement ila tuwe na staha. Lets move for change but not playing with minds of people.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba unyamaze mweshimiwa maana najua umu kuna wanfki wengi hawapendi ukweli wanapenda kupindapinda tu wanapenda ujinga mwingiii wakiguswa mbio kutaka huruma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujingaujinga tu
 
Mheshimiwa angejaribu kuwauliza jeshi la polisi huyu jamaa bado yupo hai! Au ameshauawa kitambo!!
 
😂😂😂maisha bwana. naye akaambiwa, “ Utajikuta mwenyewe na chatu” ANDIKA BEN ANDIKA.😂😂😂.
Akaja akaandika na namba ya simu. Akaipeleka na polisi. Na wakamchukua, hatujui yu hai au katutangulia.
Somo ni nini hapa vijana wenzangu.
KAMA MNA HULKA ZA KIMAPINDUZI, ZIFANYENI KWA STAHA. NI WACHACHE SANA WAMEPITA MIKONO YA DOLA KWA KEBEHI MAJIGAMBO NA KUJIAMINI. MAANA MWENYE NGUVU HAPENDI DHARAU KAMA WEWE MBELE YA WANYONGE WAKO.
Tuwe watu wa movement ila tuwe na staha. Lets move for change but not playing with minds of people.
Wewe ni upinde
 
Back
Top Bottom