Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Wewe ni mpumbavu sana. Vijana wengi wa CHADEMA mmenyimwa akili na busara. Hata Beni alionywa na kushauriwa kuacha upuuzi akakaidi matokeo yake ni kuleta kilio kwa wazazi. Siasa sio kutukana watu.
Katili na upumbavu wa juu uliojaa kichwani mwako, kutofautiana kiitikadi ni haki ya kikatiba, ccm mmjejaa watu wenye mikono iliyochafukwa na damu za binadamu wenzetu halafu mnajifanya ni wacha Mungu, wewe ni katili na hujui family ya Ben Saanane ipo vipi na elewa alikua na watoto, umelelewa kikatili na bila shaka hujawahi kuambiwa I love you
 
😂😂😂maisha bwana. naye akaambiwa, “ Utajikuta mwenyewe na chatu” ANDIKA BEN ANDIKA.😂😂😂.
Akaja akaandika na namba ya simu. Akaipeleka na polisi. Na wakamchukua, hatujui yu hai au katutangulia.
Somo ni nini hapa vijana wenzangu.
KAMA MNA HULKA ZA KIMAPINDUZI, ZIFANYENI KWA STAHA. NI WACHACHE SANA WAMEPITA MIKONO YA DOLA KWA KEBEHI MAJIGAMBO NA KUJIAMINI. MAANA MWENYE NGUVU HAPENDI DHARAU KAMA WEWE MBELE YA WANYONGE WAKO.
Tuwe watu wa movement ila tuwe na staha. Lets move for change but not playing with minds of people.
President Nyerere aliongoza mapambano ya uhuru wa nchi hii kwa kutofautiana na wakoloni, akipoacha kazi ya ualimu, wakoloni hawakumkamata na kumfunga au to eliminate him,,ccm mna roho katili kuliko makaburu ambao hawakumuua Madiba licha ya kuwa tishio kwao, hoja hii imetolewa na mtu ambaye kwenye nyumba za ibada anajifanya ni mcha Mungu kumbe ni cold blood killer
 
Katili na upumbavu wa juu uliojaa kichwani mwako, kutofautiana kiitikadi ni haki ya kikatiba, ccm mmjejaa watu wenye mikono iliyochafukwa na damu za binadamu wenzetu halafu mnajifanya ni wacha Mungu, wewe ni katili na hujui family ya Ben Saanane ipo vipi na elewa alikua na watoto, umelelewa kikatili na bila shaka hujawahi kuambiwa I love you
mkuu povu la nini sasa? ila kabla ya kuja kulia kuwa jamaa alikua na familia na inamtegemea ni vema mkachukua as a lesson kwamba kabla ya kufanya chochote inatakiwa kucalculate matokeo yote kwanza.

NB: Na mimi sijawahi kuambiwa I LOVE YOU.
 
Msimamo wa Ben Saanane wa kutofautiana kiitikadi ni haki yake,wewe huna haki ya kukatiza maisha yake au kumtisha, ccm elewa kuwa sio mrithi wa Tanzania, haina hati miliki ya nchi hii, ume cross line ya ubinadamu kwa kuunga mkono kupotea kwa binadamu mwenzako, wewe sio binadamu ni mnyama katili wa porini, ccm ilitakiwa kujibishana kihoja na Mr.Saanane, ndio maana tiss na police hawana respect kama waliokua nao, politicians wa ccm ndio waamuzi, but end of the day nao watakuja kufa na kuacha watoto wao wakifanya damage control ya wazazi wao, wind of change utaipitia Tanzania, maana battles za mabadiliko zipo mitaani sio humu
 
mkuu povu la nini sasa? ila kabla ya kuja kulia kuwa jamaa alikua na familia na inamtegemea ni vema mkachukua as a lesson kwamba kabla ya kufanya chochote inatakiwa kucalculate matokeo yote kwanza.

NB: Na mimi sijawahi kuambiwa I LOVE YOU.
Endelea kuishi kwenye magorifa yako na AC,on day utashushwa chini na kujua what's happening on the ground
 
Mtu yoyote kama ana hatarisha amani ya nchi kwa kuchochea mtafuruku ni kumuondoa haraka maisha ya wengi ni bora kuliko watu wanaotafuta umaarufu kwa kuleta fujo. Toa maoni yako kwa heshima ila ukianza kuchochea vurugu time to go. Huyu kaacha family yake wale wanaharakati wenzake waliokuwa wanamjaza kichwa wako wapi? hata family yake wanawatembelea.
 
0_20230704_101557_1.png
 
Katili na upumbavu wa juu uliojaa kichwani mwako, kutofautiana kiitikadi ni haki ya kikatiba, ccm mmjejaa watu wenye mikono iliyochafukwa na damu za binadamu wenzetu halafu mnajifanya ni wacha Mungu, wewe ni katili na hujui family ya Ben Saanane ipo vipi na elewa alikua na watoto, umelelewa kikatili na bila shaka hujawahi kuambiwa I love you
Wewe ni mpumbavu na mnafiki. Mnawachochea wenzenu washindane na dola huku nyie mkiwa mmejificha nyuma ya keyboard.
 
President Nyerere aliongoza mapambano ya uhuru wa nchi hii kwa kutofautiana na wakoloni, akipoacha kazi ya ualimu, wakoloni hawakumkamata na kumfunga au to eliminate him,,ccm mna roho katili kuliko makaburu ambao hawakumuua Madiba licha ya kuwa tishio kwao, hoja hii imetolewa na mtu ambaye kwenye nyumba za ibada anajifanya ni mcha Mungu kumbe ni cold blood killer
Bado huijui story ya Jeremy, hakufanya Takataka kama za vijana wa kisasa, wengi wamekua kama Alqaeda.
Hakukejeli mtu. Ndio maana Alialikwa hata na malkia.
 
Huyo aliyemtaja simjui, ila wakoloni wa kiingereza, makaburu pale SA walikuwa na ubinadamu wa kisheria kuliko radicals wa ccm, kwao kupingana nao ni treason case, bandari inauzwa maana tiss wapo busy na kuilinda Lumumba kuliko magogoni!
 
Bado hujui chochote
 
President Nyerere aliongoza mapambano ya uhuru wa nchi hii kwa kutofautiana na wakoloni, akipoacha kazi ya ualimu, wakoloni hawakumkamata na kumfunga au to eliminate him,,ccm mna roho katili kuliko makaburu ambao hawakumuua Madiba licha ya kuwa tishio kwao, hoja hii imetolewa na mtu ambaye kwenye nyumba za ibada anajifanya ni mcha Mungu kumbe ni cold blood killer
Mkwawa na machifu wengine aliwanyonga nani?
 
Huyo aliyemtaja simjui, ila wakoloni wa kiingereza, makaburu pale SA walikuwa na ubinadamu wa kisheria kuliko radicals wa ccm, kwao kupingana nao ni treason case, bandari inauzwa maana tiss wapo busy na kuilinda Lumumba kuliko magogoni!
Wewe jamaa ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote chini ya jua. Yaani makaburu walioua watoto 700 wasio na hatia mwaka 1976 ndo walikuwa na ubinadamu kuliko CCM? Kwa vyovyote kama wewe ni mwanaume utakuwa ni wale walioaga uanaume na kuamua kuolewa na wanaume wenzao kwa kifupi shoga. Hadi siku ya mtoto wa Afrika tunaadhimisha kuwakumbuka watoto waliouawa halafu wewe na ushoga wako unasema makaburu walikuwa na ubinadamu.
 
Back
Top Bottom