Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Mkivuta bhangi laleni. Ona sass mnaandika bhangi mitandaoni.
Nyinyi ndiyo mlikuwa mkihadaa watu kuwa ni kiki eti ana nini huyo mpaka awindwe, onyesheni alipo basi au ndiyo ile jamii ya cannibalism wala nyama za watu. Maana hata Jiwe kwa ukatili ule obvious alikuwa ni cannibal, Sukuma gang kadri ushenzi wenu unavyozidi kuibuliwa ndiyo mnavyozidi kuchanganyikiwa.
 
MamaSamia2025 kasema anamjua mhusika sisi nani kutomsikiliza?

Angalia posts #1481 na 1484.
Wewe ni mpumbavu sana. Vijana wengi wa CHADEMA mmenyimwa akili na busara. Hata Beni alionywa na kushauriwa kuacha upuuzi akakaidi matokeo yake ni kuleta kilio kwa wazazi. Siasa sio kutukana watu.
 
Wewe ni mpumbavu sana. Vijana wengi wa CHADEMA mmenyimwa akili na busara. Hata Beni alionywa na kushauriwa kuacha upuuzi akakaidi matokeo yake ni kuleta kilio kwa wazazi. Siasa sio kutukana watu.

Kwenye mipumbavu wewe mbona ni baba lao. Kwani kuna hata haja ya kukuelezea lolote zaidi?
 
Kwa hiyo mnaanza kukiri kwamba Ben saa8 mlimla nyama? Jitokezeni tuwajue.
Alikula Mbowe baada ya kushindwa kumlipa 800m za kuzunguka ulaya kuipaka matope serikali Tz ikose misaada.

Baada ya plan kufeli, Mbowe hakutaka kumlipa ben wenu. Dawa ikawa kumwua ili asijemwaga mboga.
 
Hapa umetoka kuvuta kitu cha mtaa wa mabanda. Cha lilongwe siyo kikali hivi.
 
Alikula Mbowe baada ya kushindwa kumlipa 800m za kuzunguka ulaya kuipaka matope serikali Tz ikose misaada.

Baada ya plan kufeli, Mbowe hakutaka kumlipa ben wenu. Dawa ikawa kumwua ili asijemwaga mboga.

Ndiyo maana alipo ripoti polisi kuwa anatishiwa kuuwawa polisi was Mbowe wakaendelea kumpuuza na wanaendelea kumpuuzia hata leo?
 
Huyu mtu washammaliza kitambo pengine saivi kabakia mifupa tu.
Tena nahisi muhusika itakuwa ni yuleyule Chatu Mkuu, Na mihasira yake ile alitumia mikono yake mwenyewe kulipiza kisasi kisha akammeza mzimamzima.

Nyiee! Na siku wakikutana tena huko walipoenda zao lazima watakinukisha upya.
 
Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo. Hukukopa, Ulijiandaa kulipa gharama. Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.
 
Mungu aliamua ugomvi tarehe 17,/03....pale alipomfyeka yule mwendawazimu Pumzika kwa amani Ben saanane[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Huu uzi wa Ben.. SukumaGang unawauma, mtakufa vifo vibaya sana nyinyi na familia zenu kwasabab ya roho mbaya zenu na kukosa akili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…