Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben yuko hai hata waliomteka ili kumuua hawajui alipo
Ipo siku atajitokeza na ushahidi utakaoivua nguo serikali hii ya awamu ya tano iliyodhamiria kuua kimya kimya wapinzani wake au kuwalazimisha kujiunga na ccm
Leo yule waliemtisha kumuua asipohama chadema ameshahama kwa sababu za kipuuzi
 
Hopeless comment!!
 
[emoji22] [emoji22] Tuambie mlikompeleka Ben saanane
 
Wapalestina kila siku wanauliwa na waisraeli!
 
Huyu ni suspect
 
Kwa hii sala,na hakika wahusika watakuwa wanazika wapendwa wao au wanauguza mda huu,ikiwa ni laana yatokananyo na walichomfanya mtoto wa watu
 
Hii dua.... Sijui
 
Mpo vizuri Jombaaa,mume mua na laana hampati.
 
Haki ya kumtowesha Ben Saanane inatoka wapi? Machozi na kilio chake cha uchungu mikononi mwa watesi wake, kama havikupenya ktk Ngoma za masikio yao na mabwana zao, basi yamefikilia kiti cha enzi cha Mungu Mwenye enzi.

Machozi ya wapenda haki, machozi ya wazazi wa Ben, ndugu na jamaa zake, yanatiririka na kuunda kijito cha machozi kuelekea makazi ya Hakimu wa kweli, Mwamuzi wa haki, Mungu mwenye enzi, ambaye kwa wakati wake, na kwa namna yake, atawahukumu wadhalimu.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…