Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Muuaji. Unajiskiaje baada ya kutekeleza mauaji ya Ben
 
Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
unajisikiaje ukisoma huu upupu wako bro?umeshapata hata wasaa wa kutubu?
 
👆 Jinai haifi ,siku TZ ikipata Uhuru mpya ,watu wote waliouawa kuanzia kipindi cha JPM hadi Utawala wa Mwisho kabla ya Uhuru halisi mafile yao yafufuliwe ijulikane nani aliyetekeleza na kama watakuwa hai washitakiwe kama alivyohukumiwa Jamaa aliyemuua 2PAC miaka 30 iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…