Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment yake ya dhihaka juu ya sa8 imenima sana.Ilo lijamaa in bwege Fulani hivi lililojivisha ujuaji ambao hana,alishadai lissu kafa that time yuko KENYA eti kwamba tunaandaliwa kisaikolojia.Umbwa sana hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
roho yako imesuuzika sana baada ya kumuua Ben.They told you ha!ha!
Mtaishi milele? Ole wenu siku yenu yaja mtalia na kusaga meno.They told you ha!ha!
Kumbe ujuaji wakutokujua na mapuuzi ulianza zamani!!!? Basi nimepata jibuWewe ulitaka nisemaje?
Sometimes ushahidi wa kimazingira unakuwa ni mkubwa kuliko ushahidi wa kuona!
Mungu akulipe sawa na ulichoandikaHuu umaarufu mwingine bwana, mototo wa chekechea anayejua anacho kifanya hawezi kuandika vitisho kama hivyo ambavyo bwana Ben Saanane anataka kutuaminisha. Ni bora ukatafuta njia nyingine ya kujitangaza kuliko hii ya kujitishia maisha mwenyewe.
Hatuombei wala kushabikia aina hii ya maisha. Kwa kweli inasikitisha sana. Ila kama ikitokea moja kati ya royal class (viongozi waliokuwa na nyadhifa nzito) ikaguswa na hili jambo, basi hapo ndipo huu mchezo utakapoangaliwa kwa jicho la tofauti.Sasa tuseme basi, inatosha! Who's next? Tupaze sauti