Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Hili lipo sana kwenye kumbukumbu zetu family ya Chadema ipo siku watatuambia ndugu yetu yuko wapi
 
Huu umaarufu mwingine bwana, mototo wa chekechea anayejua anacho kifanya hawezi kuandika vitisho kama hivyo ambavyo bwana Ben Saanane anataka kutuaminisha. Ni bora ukatafuta njia nyingine ya kujitangaza kuliko hii ya kujitishia maisha mwenyewe.
Mungu akulipe sawa na ulichoandika
 
Sasa tuseme basi, inatosha! Who's next? Tupaze sauti
Hatuombei wala kushabikia aina hii ya maisha. Kwa kweli inasikitisha sana. Ila kama ikitokea moja kati ya royal class (viongozi waliokuwa na nyadhifa nzito) ikaguswa na hili jambo, basi hapo ndipo huu mchezo utakapoangaliwa kwa jicho la tofauti.
 
Back
Top Bottom