Freesoule
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 269
- 272
Kwahiyo ninyi huwa mnateka tu bila kutisha?Hakuna nchi itakayomtisha mtu kwa sms then ndo itende. Ntakuwa mmetekwa akili zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ninyi huwa mnateka tu bila kutisha?Hakuna nchi itakayomtisha mtu kwa sms then ndo itende. Ntakuwa mmetekwa akili zenu.
Rest in Peace Ben.Ulikuwaga unatembea na sumu ili umuuwe Zitto,hatimae umetangulia na kumwacha Zitto bado anakula ugali.
Wanalipa taratibu mkuu...Ni suala la muda tu, kabla ya waliohusika wote kuilipa damu yako!
Besti Ben alikukosea nini hadi uandike hivyo? Ama kwasababu ya kabila lake? 😣😟😥Rest in Peace Ben.Ulikuwaga unatembea na sumu ili umuuwe Zitto,hatimae umetangulia na kumwacha Zitto bado anakula ugali.
Vital sign zipo,wahusika moja baada ya mwingine wanatangulia mbele ya haki.Miaka sasa hakuna vital signs zake.
Walioshiriki Kumuua Ben wote wataondoka na vifo vya Taabu sana angali wakiwa Vijana,Haiwezekani uue mtu mweye A+ Flat kuanzia Form Four hadi Chuo kikuu kisa kuchallenge Phd feki ya Kutu za Maganda ya Korosho.Bashite Jiwe Habibu Mchange Musiba wamekunywa damu yako Ben only time will tell
Wanazidi Kupotea tu walidhani wataishi milele kwa upuuzi wao,yaani unaua mtu kwa kuhoji Phd Feki? Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Kama hautaki challenge au watu kuhoji aache siasa akafanye issue nyingine.Waliokupoteza nao wamepotea
Duh! Wewe dada katili eeh?🙆🏾♀️Rest in Peace Ben.Ulikuwaga unatembea na sumu ili umuuwe Zitto,hatimae umetangulia na kumwacha Zitto bado anakula ugali.
Hizo A+ zake alizipata kwa ajili ya kuchallenge PhD za watu !? Angesoma yake ya maganda ya kahawa basi !Walioshiriki Kumuua Ben wote wataondoka na vifo vya Taabu sana angali wakiwa Vijana,Haiwezekani uue mtu mweye A+ Flat kuanzia Form Four hadi Chuo kikuu kisa kuchallenge Phd feki ya Kutu za Maganda ya Korosho.
Wewe !Sasa tuseme basi, inatosha! Who's next? Tupaze sauti
hivi kazi ya mahakama na polisi nini hasa? Boga kazi yake ni kuliwa na sio sehemu ya ubongoUnakuta lijitu linatukana wakuu wa nchi kama apendavyo.
Apandaye mahindi huvuna mahindi.
Kila MTU avune kile alichopanda.
Kwa ujinga wenu, mtasalimu amri tu maana hakuna namna nyingine.
Shenzy nyie
Kwahiyo mtu asiye na adabu adhabu yake ni kifo? Mbona we we bado unapumua wakati huna adabu!Hizo A+ zake alizipata kwa ajili ya kuchallenge PhD za watu !? Angesoma yake ya maganda ya kahawa basi !
Alikuwa simply hana adabu.
Mungu yupo.Sometimes ushahidi wa kimazingira unakuwa ni mkubwa kuliko ushahidi wa kuona!
Mwenye masikio na asikie,na mwenye macho na aone
2025 kama tutakuwa HAI tutajua kila kitu kuhusu nn kilimkuta Ben Saanane
Na kuna vijana watafungwa!
Tunza hii thread