kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini hukoKesho Mzee Mwanakijiji anaenda mlimani kumwombea kiongozi wa malaika Magufuli atawale milele.
God Have Mercy !
Najaribu kuwafichua hawa wanafiki wanaojifanya wanamwabudu Mungu wakati mikono yao imejaa damu za watu wasio na hatia ingawa najua hawana aibu.Kuna nini huko
Inasikitisha Sana ,Sema ndio hivyo jamaa alibahatika kuwa na watoto wawili kabla ya msala.
Ubaya hauna kwaoHuyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Inatisha na pia inasikitishaUS is Watching ...Bashite Ushamezeshwa NDOANO ...On To The Nex One --KICHWA SAMAKI.
Bora ingekuwa hivyo....ila kwa roho ya bashite sidhani...Hivi kwa mfano Ben Saa nane ukute aliwekwa kwenye vyumba vya siri huko anahudumiwa kila kitu alafu watekaji wanasubiri ngoma ivumeeeee alafu wanamuachia huru alafu wanatafuta siaisa dezooooo...naota...lakini uenda alisha aga dunia mtanzania mwenzetu asiye na hatia. Mungu awachome moto watu wote wanao dhurumu uhai wa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanadhulumu uhai wa wenzaoBora ingekuwa hivyo....ila kwa roho ya bashite sidhani...
Umechelewa kuwaza ndugu,mrejesheni akiwa hai au mfu,familia imzike.Humu kuna watu wana akili ndogo, Mimi mpaka kesho naamini hakuna nguvu kubwa iliyihusika kumpoteza huyu
Pengine ni michezo ya Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app