Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Inasikitisha,
Inauma sana, kama ni kweli wapo waliohusika kufanya jambo lolote baya kwa huyu mtanzania mwenzetu kwa ajili ya maslahi yao binafsi basi wamemkosea sana MWENYEZI MUNGU aliyetuumba na kutuzawadia zawadi hii nzuri ya uhai.

Machozi ya mkewe, wanawe, wazazi na ndugu , jamaa na wale wote waliokosa amani mioyoni mwao kwa tukio la ndugu Ben Saanane hayatadondoka na kupotea pasipo kujibiwa na yeye aliye juu MUUMBA.

Mjitokeze na kukiri uovu wenu mbele ya umma wa Watanzania, mtubu na kuomba msamaha mpate kusamehewa.
Tutajitakasa nafsi nafsi zetu, tutaendelea kufunga na kuomba na katika huyu MUNGU anayeishi hakika atasikia kilio cha watu wake naye atatenda kadiri ya maombi yetu.
 
US is Watching ...Bashite Ushamezeshwa NDOANO ...On To The Nex One --KICHWA SAMAKI.
 
Hivi kwa mfano Ben Saa nane ukute aliwekwa kwenye vyumba vya siri huko anahudumiwa kila kitu alafu watekaji wanasubiri ngoma ivumeeeee alafu wanamuachia huru alafu wanatafuta siaisa dezooooo...naota...lakini uenda alisha aga dunia mtanzania mwenzetu asiye na hatia. Mungu awachome moto watu wote wanao dhurumu uhai wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ingekuwa hivyo....ila kwa roho ya bashite sidhani...
 
Natumai mabeberu watakuwa wameusoma huu ujumbe na wana details zote za hiyo namba ya muuaji na associates wake,
muda ni msemaji mzuri, tunasubiri kwa hamu siku ifahamike
 
Back
Top Bottom