Kama huwaamini madereva wa kinyarwanda unaruhusiwa kufaulisha mzigo mpakani palepale. Kuna warehouses maalumu kwa kazi hio na makampuni makubwa ya clearing kama Balloré na Dubai port world wako pale eneo la mpakani.Unampataje sasa huyo mnyarwanda wa kumuamini kumuachia gari? Bado tatizo lipo palepale
Huko alipo ameshanipa Like kwny hio post.
Huyo jamaa ana matatizo kichwaniApitishie mizigo mombasa??? Unavyomaanisha aje apitishie mizigo Uganda na wakati huo huo haelewani na M7 kwa hiyo choice itabaki ni TZ tu hana ujanja huyo.
Hapo ndipo wanadiplomasia inatakiwa ionekane!!wanataka kujimilikisha biashara ya usafirishaji
Mambo vipi bro? Lambo hapa.Hapo ndipo wanadiplomasia inatakiwa ionekane!!
Superiority ideology wanayotaka kuimanifest subconsiously juu yetu hatuwezi kuikubali, waishie mpakani then dereva wa Tz apokee gari kama wao wanavyotufanyia, hata sisi hatutaki kuletewa Corona toka Rwanda.
Total tests 652Hivi hawa madereva wanatoa wapi hii corona??
Ni dhahiri huu ugonjwa ushasambaa sana na sisi tumeshindwa na tumeridhika na hali yetu.
Ona sasa aibu...nchi jirani zinatuvua nguo dah
Mizigo ishushiwe mpakaniKagame ana akili.
Namuunga mkono sana kwenye hili
Yaani mimi nisacrifice kuthibiti Korona hadi kufikia kuwapunguzia watumishi mishahara halafu mijitu ya nchi nyingine ije iharibu sacrifice yoote eti tu. kwa sababu raisi wao anatafuta shortcut ya tatizo
Kagame tuko pamoja, uko sahihi mara mia na nakushauri ili kulinda Afya za Wanyarwanda pitisha mizigo Mombasa mpaka ujiridhishe kuwa Tanzania ni salama.
Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu
200%Sawa, na sisi pia tunazuia madereva wa Rwanda wasituletee Corona, watafute dereva wa Kitz amalizie safari
Nimekusoma!! Habari za London?Mambo vipi bro? Lambo hapa.
Hofu ya korona tu bro, hamna zaidi. Nimefurahi kukuona humu.Nimekusoma!! Habari za London?
Huko Mombasa ndo salama sasa?Kagame ana akili.
Namuunga mkono sana kwenye hili
Yaani mimi nisacrifice kuthibiti Korona hadi kufikia kuwapunguzia watumishi mishahara halafu mijitu ya nchi nyingine ije iharibu sacrifice yoote eti tu. kwa sababu raisi wao anatafuta shortcut ya tatizo
Kagame tuko pamoja, uko sahihi mara mia na nakushauri ili kulinda Afya za Wanyarwanda pitisha mizigo Mombasa mpaka ujiridhishe kuwa Tanzania ni salama.
Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu
Akili zao fupi. Wamepewa limebeneke kiduchu wanalialia.Hilo sitoshangaa kabisaa, lakini hivi tujiulize kama madereva wa Tz Wana Corona na hawaruhusiwi kuingia nchini Rwanda kwanini hawa madereva wa Rwanda waje huku kwetu, hawajui kwamba wanakuja kuichukua hiyo corona kuipeleka kwao.
kenya wametangaza visa vipya 45.Huko Mombasa ndo salama sasa?
Naona uli-hack maongezi yao mkuu.Tanzania leaders are not serious. They're the ones behind this stupid escalation. Wenzake walimpigia simu akawa anaongea pumba& nonesense. Wakaachana naye.
Mkuu soma tena ulichokiandika kama ndicho ulitaka kuandika.picha kubwa (sijui kama utaelewa though)..... katika ushindani wa kibiashara miongoni mwa nchi zenye bandari, ni Tanzania ndiyo inayozihitaji land-locked countries zaidi kuliko kinyume chake.
Tatizo wabongo mnazindika magari, akipewa Dreva mwingine bila ridhaa yenu ni shida.