Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Unampataje sasa huyo mnyarwanda wa kumuamini kumuachia gari? Bado tatizo lipo palepale
Kama huwaamini madereva wa kinyarwanda unaruhusiwa kufaulisha mzigo mpakani palepale. Kuna warehouses maalumu kwa kazi hio na makampuni makubwa ya clearing kama Balloré na Dubai port world wako pale eneo la mpakani.

Magari ya mafuta na mizigo inayohitaji storages maalumu ndio lazima wabadilishe dereva. Magari ya transit hawabadilishi dereva bali tu wanapewa escort ya police.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii ni bado, tutatengwa na dunia nzima kutokana na uzembe wetu kupambana na Korona na uongo wetu eti ni wachache wenye nayo nchini.
 
Hivi hawa madereva wanatoa wapi hii corona??
Ni dhahiri huu ugonjwa ushasambaa sana na sisi tumeshindwa na tumeridhika na hali yetu.
Ona sasa aibu...nchi jirani zinatuvua nguo dah
Total tests 652
infections 480
deaths 16
recovered 167
unaweza kuona ukubwa wa tatizo kama katika tests 652 kuna idadi hiyo ya wagonjwa katika tests million moja tungepata wangapi ?
 
Kagame ana akili.

Namuunga mkono sana kwenye hili
Yaani mimi nisacrifice kuthibiti Korona hadi kufikia kuwapunguzia watumishi mishahara halafu mijitu ya nchi nyingine ije iharibu sacrifice yoote eti tu. kwa sababu raisi wao anatafuta shortcut ya tatizo

Kagame tuko pamoja, uko sahihi mara mia na nakushauri ili kulinda Afya za Wanyarwanda pitisha mizigo Mombasa mpaka ujiridhishe kuwa Tanzania ni salama.

Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu
Mizigo ishushiwe mpakani

Huko Mombasa ndo salama sasa?
 
Hilo sitoshangaa kabisaa, lakini hivi tujiulize kama madereva wa Tz Wana Corona na hawaruhusiwi kuingia nchini Rwanda kwanini hawa madereva wa Rwanda waje huku kwetu, hawajui kwamba wanakuja kuichukua hiyo corona kuipeleka kwao.
Akili zao fupi. Wamepewa limebeneke kiduchu wanalialia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
picha kubwa (sijui kama utaelewa though)..... katika ushindani wa kibiashara miongoni mwa nchi zenye bandari, ni Tanzania ndiyo inayozihitaji land-locked countries zaidi kuliko kinyume chake.
Mkuu soma tena ulichokiandika kama ndicho ulitaka kuandika.
 
kama serikali ya Rwanda hawataki madrive wetu kuingia tanzania wanaona madrive wewe wana corona basi hata madrive wa Rwanda wasije Tanzania wasije kurudi na corona Rwanda kila mtu akae kwao au tupeane mizigo boda na kila moja arudi kwao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom