Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Kama huwaamini madereva wa kinyarwanda unaruhusiwa kufaulisha mzigo mpakani palepale. Kuna warehouses maalumu kwa kazi hio na makampuni makubwa ya clearing kama Balloré na Dubai port world wako pale eneo la mpakani.Unampataje sasa huyo mnyarwanda wa kumuamini kumuachia gari? Bado tatizo lipo palepale
Magari ya mafuta na mizigo inayohitaji storages maalumu ndio lazima wabadilishe dereva. Magari ya transit hawabadilishi dereva bali tu wanapewa escort ya police.
Sent using Jamii Forums mobile app