Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Mkuu kwani tumeshamaliza kuzichunguza testing kits zetu hadi tuweke one stop center? By the way Tanzania Kuna corona?
Kila mtu ashushe mzigo mpakani Rwanda wakija na mzigo wauache mpakani tutauchukua na sisi tushushe mpakani wao wachukue mizigo yao sisi hatuendi Kwao na wao hawaji kwetu ila kila mtu anapata mzigo wake case closed
 
Mkuu kwenye hiyo root Tanzania haina mzigo,only revenue but mzingo unsoingia na kutoka wote ni wa Rwanda
 
humo kwenye clip kuna mtu kauliza swali muhimu sana.
Kama Rwanda inaogopa corona kwa kuzuia wageni wasiingie kwao,iweje wao wanataka kuja na kuingia huku kwenye corona?si yale yale tu?
 
Nani kakwambia dawa ya Moto ni Maji?Dawa ya Moto ni Moto.
 
Mkuu kwenye hiyo root Tanzania haina mzigo,only revenue but mzingo unsoingia na kutoka wote ni wa Rwanda
Haina shida kila mtu ashushe border Halafu mwenzie abebe awe na mzigo mkubwa au mdogo
 
humo kwenye clip kuna mtu kauliza swali muhimu sana.
Kama Rwanda inaogopa corona kwa kuzuia wageni wasiingie kwao,iweje wao wanataka kuja na kuingia huku kwenye corona?si yale yale tu?
Uko sahihi solution kila mtu ashushe mzigo border unapoenda kila nchi ichukulie border case closed
 
Umeandika nini hiki mdau?

Aliyekwambia Corona itatuua Watz wote hivyo itabidi rai wa Rwanda waje kurithi nchi yetu ni nani?
Sasa usipothibitiwa kwa nini usiue wote? Laiti ingekuwepo dawa ya kueleweka au vaccine ungesema mtu utaumwa utapona na hutougua tena au utaendelea kumeza dawa ili upone.

Sasa Korona unaweza kuumwa ukifanikiwa kupona huna kinga ya kutoumwa tena. Who knows, ukiumwa tena unaweza usipate bahati ya kupona tena.

Sasa hapa bongo mamilioni watakuwa infected kwa sababu serikali yetu inafanya vice versa kwenye kudhibiti ugonjwa huu kusambaa, most likely ukiumwa ukapona akaenda mtaani utakutana na wahonjwa wengine watakaokuinfect tena, mwishowe kifo tu
 
Kiukweli hakuna sababu ya msingi ya kuyakuuza mambo haya.
Hatujasema wazuiwe kuingiza magari, bali dereva wao apokelewe nna dereva wa Tz ili kuepusha wasituletee Corona toka Rwanda, kama Kenya watakubali dereva wao wazuiwe mpakani ila wa Rwanda wawe free kuingiza Corona Kenya then so be it.., wapitishie Mombasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaongea uchumi ukiwa bado inapumua,Ila ukishalala hatuna Cha uchumi Wala revenue.Nothing is expensive kuliko kupoteza uhai
Hujui kama uchumi pia unahusika kutunza uhai? Kifupi vinategemeana

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom