Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Hivi ule uamuzi wa kutofunga mipaka kwa kuwa tunahudumia nchi nane,mie nilidhani magu kazungumza kwanza na wakuu wa nchi hizo,but it seems yeye alikuwa driven na revenue
Nadhani aliangalia dependency ya hizo nchi hasa kwenye suala la bandari na mazao. Nakuhakikishia hata kama nchi zote zinazoruzunguka zitafunga mipaka, atakayemuda ni Uganda pekee, wengie kama Kenya jaribu tu kutazama majiranibzake huko kaskazini ndipo utapata picha.

DRC na nchi nyingine land locked zilizotegemea bandari ya Dar zaweza kuathiriwa na maamuzi haya yasiyotazama athari za muda mrefu.

Ni mtazamo tu

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Kwamba bila Tz hawana option nyingine? Je ukipitia Beira kwa mfano unaweza kufika DRC au huwezi?
 
Kiuhalisia hii sio sawa! Kama ni kuwazuia madereva wa Tanzania kuingia Rwanda basi bora Malori kutoka Tanzania yawe yanashusha mzigo boda then ya Rwanda yanapokea from there lakini sio kumuachia mtu usiyemjua gari yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna kitu hujakielewa ndugu. Dereva anatafutwa na transporter (mwenye gari) na hapewi dereva asiemtaka na serikali ya Rwanda au yeyote yule. Utaratibu huo madereva kutoka Tanzania hawautaki maana unapunguza maslahi yao. Na serikali yetu ilishaarifiwa kabla ya utaratibu huo haujaanza kutekelezwa na ulikubaliwa. Mbona kenya na uganda wanatumia utaratibu huo na haujaleta kelele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa zinazoendelea kupatikana kutoka benako kuna magari 3 yameangushwa ndani ya Rwanda na wanyarwanda kwenye utaratibu fyongo huu unaolalamikiwa.
Tatizo wabongo mnazindika magari, akipewa Dreva mwingine bila ridhaa yenu ni shida.
 
Hapa kuna kitu hujakielewa ndugu. Dereva anatafutwa na transporter (mwenye gari) na hapewi dereva asiemtaka na serikali ya Rwanda au yeyote yule. Utaratibu huo madereva kutoka Tanzania hawautaki maana unapunguza maslahi yao. Na serikali yetu ilishaarifiwa kabla ya utaratibu huo haujaanza kutekelezwa na ulikubaliwa. Mbona kenya na uganda wanatumia utaratibu huo na haujaleta kelele?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unampataje sasa huyo mnyarwanda wa kumuamini kumuachia gari? Bado tatizo lipo palepale
 
Apitishie mizigo mombasa??? Unavyomaanisha aje apitishie mizigo Uganda na wakati huo huo haelewani na M7 kwa hiyo choice itabaki ni TZ tu hana ujanja huyo.
Suala la kufungua mpaka walishalimaliza. Na hii issue ya maderva wa malori maraisi wa Kenya, Uganda na Rwanda wamekubaliana kuhusu utaratibu kama huu ambao madereva wetu hawautaki.
IMG_20200505_124243.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema toka mwanzo, na wao waishie mpakani, wawape watz hilo gari wamalizie safari then litarudishwa mpakani, na wao wasituletee Corona
 
Unampataje sasa huyo mnyarwanda wa kumuamini kumuachia gari? Bado tatizo lipo palepale
Huu ni wakati wa Corona mkuu, imagine jamaa hata makaratasi hawapokei, lazima nyaraka zote za mzigo uzitume electronically, imebidi transporters wawaombe ma agents wao kuwatafutia madereva. Huwezi inabidi uachane na mizigo ya kwenda huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ningekuwa mimi, lazima nilinde raia wangu kwa gharama yoyote.
Inategemwa unaposema kulinda raia una maana gani. Ulinzi wa wananchi hautazamwi kwa eneo moja moja pekee, kumbuka ni muunganiko wa shughuli mbalimbali kuleta picha ya pamoja

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu
Umeandika nini hiki mdau?

Aliyekwambia Corona itatuua Watz wote hivyo itabidi rai wa Rwanda waje kurithi nchi yetu ni nani?
 
Back
Top Bottom