Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Nadhani aliangalia dependency ya hizo nchi hasa kwenye suala la bandari na mazao. Nakuhakikishia hata kama nchi zote zinazoruzunguka zitafunga mipaka, atakayemuda ni Uganda pekee, wengie kama Kenya jaribu tu kutazama majiranibzake huko kaskazini ndipo utapata picha.Hivi ule uamuzi wa kutofunga mipaka kwa kuwa tunahudumia nchi nane,mie nilidhani magu kazungumza kwanza na wakuu wa nchi hizo,but it seems yeye alikuwa driven na revenue
DRC na nchi nyingine land locked zilizotegemea bandari ya Dar zaweza kuathiriwa na maamuzi haya yasiyotazama athari za muda mrefu.
Ni mtazamo tu
Sent from my SM-A720F using Tapatalk