YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kila mtu ashushe mzigo mpakani Rwanda wakija na mzigo wauache mpakani tutauchukua na sisi tushushe mpakani wao wachukue mizigo yao sisi hatuendi Kwao na wao hawaji kwetu ila kila mtu anapata mzigo wake case closedMkuu kwani tumeshamaliza kuzichunguza testing kits zetu hadi tuweke one stop center? By the way Tanzania Kuna corona?