Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Mkuu soma tena ulichokiandika kama ndicho ulitaka kuandika.
I meant exactly every word.

Rwanda ana options za kutumia Mombasa, Beira or even Durban or Angola.

Tanzania akisusiwa na all landlocked countries kwa sababu za kizwazwa maana yake bandari zake zitakuwa zina operate under capacity na kwa hasara, etc.
 
Unajua kuna mpango wa kujenga Reli kwenda Rwanda? Unajua unapoitaja Rwanda unaitaja Mshariki ya Kongo? Mbali ya hizo nchi nyingine ni Rwanda ndiye inategemewa mizigo mingi kupitia kwake.

ndiyo tupate akili ya kufanya diversion kuwa na reli nyingine kupitia burundi kwnda drc, ili mmoja akizingua kama hivi, unabadili njia
 
hata akita pia aruke, lakan hawezi leta huo ujinga kisha tunyamaze kwakua anazo options.

sisi tuna korona, basi wachukue mizigo yao boda na sisi tutawasombea kutoka port. Kinacho waleta huku kwny maambukizi ni kipi?
 
...ndiyo hivyo sasa - mkiboa wanatumia bandari nyingine halafu mtabaki na magofu yenu shubaaaamit!!
 
humo kwenye clip kuna mtu kauliza swali muhimu sana.
Kama Rwanda inaogopa corona kwa kuzuia wageni wasiingie kwao,iweje wao wanataka kuja na kuingia huku kwenye corona?si yale yale tu?
Tatizo hapo ni umakini ......umakini wa kimataifa unaanzia kwenye kukubaliana na taratibu za kimataifa zidi ya kitu fulani....approach yetu kwenye korona ndio imefanya tuonekane kuwa hatujui hata kujisanitaizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama una bandari unaenda rwanda kufanya nini kaa na bandari yako upige picha unapiga mbizi ferry hapo

Blackberry

wewe mjinga sana, alienzisha chikonda wenu kuzuia madereva wetu. sasa tunalipiza na wenu wasije unaongea mavi

hivi unajua kuna wajinga wangapi kama nyie hapa nchin? tukiamua tukakubaliana kila mtaa tuwatie akili mrudi kwenu, shenzi nyie
 
...ndiyo hivyo sasa - mkiboa wanatumia bandari nyingine halafu mtabaki na magofu yenu shubaaaamit!!

kwa importation gani kutoka kwenu?
basi tu, lakn ilibidi hata lory lenu moja lisitie mguu bandarini maana tuna malory ya kutosha

tumieni mnapotaka
 
Kagame ni kichwa. Kesha ng'amua hawezi ku deal na Jiwe la Tanzania.
Hapo juzi, M7 kawapia ma Rais kuongelea masuala hayo.
Wote tumeona tweet yake. It seems kwa Jiwe hakuambulia kitu. Too sad?
jiwe ni kichwa haswaa,kama alikiwa anazomea jk,hapa kakutana namhutu sasa[emoji23][emoji23][emoji23].

mbona atauza simu,unadhani m7 kutweet kijembe vile kapendani vile atafanyaje[emoji1][emoji1].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hapo ni umakini ......umakini wa kimataifa unaanzia kwenye kukubaliana na taratibu za kimataifa zidi ya kitu fulani....approach yetu kwenye korona ndio imefanya tuonekane kuwa hatujui hata kujisanitaizi

Sent using Jamii Forums mobile app
corona yenyewe itafanya natural selection,kama ilivyofanya kwa US baada ya china,hawaamui wahanga bali yenyewe,ni corona ndio itamchagua bwana wake.

mpaka sasa visa rwanda ni 261.unaweza ukaona ni jinsi gani corona ndio inaongea haipangiwi.mwisho watafunda mipaka yote visa vinazidi tu,halafu itabidi waseme upepo unaipeperusha kuelekea kwao kutokea bahari ya hindi[emoji16][emoji16].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa nchi akiwa shetani hata raia wanakuwa mashetani. Sasa kwa nini mnataka Kagame asichukuwe hatua za kulinda watu wake. Yaani hii ni kama Rais wa nchi kuwakoromea wachungaji na maimam kwa kufunga sehemu za ibada.
 
Yani mtu kapiga nchi lockdown ili kudhibiti Corona halafu mtu mwingine ambaye wala hajali maisha yake aje aniletee magonjwa? Hata hivyo Rwanda wamewavumilia sana wa Tz. Watu maisha yenu wenyewe hamuyajali itakuwa ya wenzenu?

Sasa wanapokuja huku si ndio wataichukua corona wapeleke nchini kwao kwa nini wasibaki huko huko walipo kiongozi...?
 
Rais wa nchi akiwa shetani hata raia wanakuwa mashetani. Sasa kwa nini mnataka Kagame asichukuwe hatua za kulinda watu wake. Yaani hii ni kama Rais wa nchi kuwakoromea wachungaji na maimam kwa kufunga sehemu za ibada.
unapopambana na hali yako usitikise za wengine,vinginevyo utajivirugia mikakati.

kaamua kukinga watu wake,kama ambavyo wewe unatamani kukingwa,halafu anataka madereva wake waingie huku tusikokingwa.

nyie wapinzani stress hata hamuelewi kama jamaa anapuyanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo Rwanda wana 0 deaths. Kagame keep doing what you are doing.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Rais wa nchi akiwa shetani hata raia wanakuwa mashetani. Sasa kwa nini mnataka Kagame asichukuwe hatua za kulinda watu wake. Yaani hii ni kama Rais wa nchi kuwakoromea wachungaji na maimam kwa kufunga sehemu za ibada.

sawa alinde raia wake hatujamkatalia, huku kwny korona wanafuata nini?

mizigo yao tunaiacha boda, wao wanaanzia hapo kupeleka kwao
 
Bwana dereva, Wanyarwanda hawana kosa lolote hapa. Kuna visa vingi sana vya madereva wetu vya corona huko Uganda, Malawi na Rwanda. Malawi mpaka sasa, kati ya wagonjwa 41 wa corna, 13 ni maderva kutoka Tanzania. Sasa mnataka nchi zote ziwe kama ya kwenu. Kama ndio mawazo yenu haya, kumbe huyu Rais wenu pia alitakiwa kuwa dereva.

Mnafikiri nyie ndio mna bandari tu? Ngoja waende Mombasa na Beira muone. Yaani nchi kuchukuwa hatua sitahiki za kujilinda, nyie inawakera. Mlitaka iwe kama Tanzania, siyo? watu waanze kuzika usiku Rwanda, Uganda, Malawi.... Siyo sahihi kabisa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…