M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
I meant exactly every word.Mkuu soma tena ulichokiandika kama ndicho ulitaka kuandika.
Rwanda ana options za kutumia Mombasa, Beira or even Durban or Angola.
Tanzania akisusiwa na all landlocked countries kwa sababu za kizwazwa maana yake bandari zake zitakuwa zina operate under capacity na kwa hasara, etc.