Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Kwani wakati ule wanauana, sisi Bandari yetu ilikuwa imefungwa.

Mzigi wao ni 14% ya mizigo yote. Wawepo wasiwepo, maisha yetu yataendelea tu.
 
Beira hawawezi kwenda kwa sababu ya umbali,na Mombosa ni option ya 3 baada ya DSM.
Si unakumbuka 2014 walibeep kususia Bandari ya TZ, kilichofuata?
Baada ya kuona maisha yao yapo hatarini kwa kupitia Maraba na Busia, wenyewe wakarudisha Ringi DSM.
Haw wetu, hawana ujanja
 
Kwa hiyo unataka kusema Beira ni mbali kutoka nchi zote nilizotaja hapo? Utakuwa haufahamu gografia.
 
Haya bwana dereva umeshinda na bila shaka Rais wako atakupigia makofi kwa vile mawazo yenu yanafanana. Endeleeni kunyanyasa wateja wenu na kupima mapapai corona huku wafu wakibebwa na malori na kuzikwa usiku. Mimi niko mbali huku napambana. Huku niliko maziko yanafanyika mchana.
 

Wacha uzuzu kwenye mambo nyeti. Hamia basi Kigali kama utaweza kumudu mikwara ya huko japo kwa mwezi mmoja.
 
hapana tz hatutosaida tena,hawa watu wanaroho za kinyama.wakianza kuchinjana tu dawa ni kufunga mpaka wasiingie huku tanzania kuna corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu itakapokupata usiyasahau maneno ya RC Mghwira: "sijui ni wapi sikuzingatia masharti". Mwisho wa kumnukuu.

Huu ugonjwa ungali mpya sana mtu awaye yote kujimwambafai kama unavyojaribu kufanya.

Ni upya huo huo wa ugonjwa huu ambao uliigutua dunia na hatimaye ikadhihirika kuwa kumbe takwimu zote za mchina kuhusiana na vifo na maambukizi zilikuwa zote fix.

Mkuu wenzio wanaponyelewa .. chunga!
 
Updates kutoka medani za vita (benako); wanaume wangali wameumana, pembe zimefugana (lhorns locked), hakuliki, hakukaliki

Ngoma bado mbichi.

Hakuna lori kupita kwenda Rwanda wala kuingia tokea pande za Rwanda.

Hii ndiyo piiipooos! Siyo ile ya wale jamaa wa posho.

Bila shaka hapa tulipo mrejesho unasubiriwa tokea pande za Chatto si Dodoma wala Dar tena. Kwa maana maji kwisha zidi unga..!
 
Aliyekwambia wamedhibiti nani? Matapeli tu. Hizi takwimu ni za wanyarwanda au watanzania?
Yani mtu kapiga nchi lockdown ili kudhibiti Corona halafu mtu mwingine ambaye wala hajali maisha yake aje aniletee magonjwa? Hata hivyo Rwanda wamewavumilia sana wa Tz. Watu maisha yenu wenyewe hamuyajali itakuwa ya wenzenu?


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu dereva wao akina huku anabakia huku huku. Akirudi wanaenda quarantine 14days.

Hivyo wao walikuwa kisungura sungura wengine wawe huku wanabadilishania malori boda.

Nadhani utakuwa umewasoma so issue ya kwenda kusambaza kwao haipo.
 
Nyie msicheze na corona. Kifupi hazuiliki kwa hizo mbwembwe zenu za masks wala sanitizers. Imagine usa wamefunga siku ngapi? Walipunguza maambukizi? Spain, Uk, Rwanda, South Africa, wote walifunga nchi zao, maambukizi yalisimama? Why?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama una bandari unaenda rwanda kufanya nini kaa na bandari yako upige picha unapiga mbizi ferry hapo


Blackberry
Mnajionaga mna akili sana nyie kenge, ndomana mahutu yalikuwa yanawachinja kama kuku, Mende mkubwa wewe.
 
Usichojua ni kuwa Mombasa ndo kitovu cha covid east Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wazuie watu wao kukanyaga tzania. Tutaheshimiana tu. Yaani watu wana 270 cases hafu unasema wamedhibiti? Wao walichofanikiwa ni kuficha taarifa za waliokufa
Hatua wanayochukua sio sahihi au wanaogopa kuchukua hatua sahihi.
Hapo wakataze malori kutoka Tanzania kuingia Rwanda kabisa Watakua wako serious.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama una bandari unaenda rwanda kufanya nini kaa na bandari yako upige picha unapiga mbizi ferry hapo


Blackberry
Kwa akili zako unazani sie tunashida hicho kimkoa kinachozidiwa eneo na wilaya ya mafia. Sie hatuwahitaji kwa lolote ni wafanyabiashara uchwara wa hicho kimkoa ndo wanunua Huduma za usafirishaji kwa matajiri wa malori tz, wasipokuja kununua hii Huduma wala hatuna habari nao kabisa
 
[emoji16][emoji16][emoji16]kumbe haujui hata dunia inaenda vipiPia nina ujumbe wako kutoka GERMAN.
Njia unazo taka tupite wenzetu wameshaanza KUZIACHA.
CORONA BYE BYE View attachment 1440089View attachment 1440090

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unatafuta mtu akutafsirie taarifa za habari, Lockdown imewasaidia kuflatten the curve.

Hii ni model ya kudeal na magonjwa ya maambukizi kama Covid-19.

Sasa wanaingia hatua nyingine ya kuruhusu shughuli za uchumi step by step.

Hii model ya kwenu sijui mmeitoa wapi. Kuanza na maombi ya miungu mbalimbali, Allah, Mizimu, Krishna, etc na kuignore WHO advise.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…