Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Kwani wakati ule wanauana, sisi Bandari yetu ilikuwa imefungwa.I meant exactly every word.
Rwanda ana options za kutumia Mombasa, Beira or even Durban or Angola.
Tanzania akisusiwa na all landlocked countries kwa sababu za kizwazwa maana yake bandari zake zitakuwa zina operate under capacity na kwa hasara, etc.
Mzigi wao ni 14% ya mizigo yote. Wawepo wasiwepo, maisha yetu yataendelea tu.