Hadithi tu hizo.Unajua kuna mpango wa kujenga Reli kwenda Rwanda? Unajua unapoitaja Rwanda unaitaja Mshariki ya Kongo? Mbali ya hizo nchi nyingine ni Rwanda ndiye inategemewa mizigo mingi kupitia kwake.
Hujasikia hao wakilalamika wanavyonyanyapaliwa? Hujaona hapo wanasema kuwa wakipishana na watanzania wanajipulizia sanitizer?Unamzuia jirani yako asiingie kwako kwa vile ana corona halafu wewe unamfuata nyumbani kwake!
Ajabu!
Ndio hivo hakuna tena muda wa kubembelezana hapa, ndio mana mzee JK alitakaga kuwatwanga hawa kumbe ni wapuuzi kiasi hiki?100%
Na tuliwapa eneo la kuzika ndugu zao pale maeneo ya magereza, bado wanatufanya mafala.
Kila mtu na abakie kwao.
No need ya kubembelezana,
Mwambie huyo,hawana ujanja huo,na tukiwaacha watajifia kwa njaa,ila big up sn madereva wa Tz kujibu mashambuliziApitishie mizigo mombasa??? Unavyomaanisha aje apitishie mizigo Uganda na wakati huo huo haelewani na M7 kwa hiyo choice itabaki ni TZ tu hana ujanja huyo.
Nadhani huu ni uzembe wizara ya mambo ya ndani. Walipaswa kuwa wameweka itaratibu.
Maana yangu ni kwamba ikiwa Rwanda wanazuia watanzania kuingia kwao kwa sababu wana corona, kwa nini wanakuja TZ kwenye corona?Hujasikia hao wakilalamika wanavyonyanyapaliwa? Hujaona hapo wanasema kuwa wakipishana na watanzania wanajipulizia sanitizer?
Hata siku moja serikali ya nchi hii haijawahi kujiendesha kibiashara ingekuwa hivyo tusingekuwa na ukiritimba wa kiasi hiki. Fungua biashara ukutane na TRA,TPA, TMDA,TBS, WAKALA WA MISITU, FIRE,SUMATRA,NSSF, BRELA, HALMASHAURI etc halafu utakuja na mrejesho kama wapo business minded.picha kubwa (sijui kama utaelewa though)..... katika ushindani wa kibiashara miongoni mwa nchi zenye bandari, ni Tanzania ndiyo inayozihitaji land-locked countries zaidi kuliko kinyume chake.
Sasa mkuu akigombana na majilani wote atapitisha wapi na yeye mizigo yake.Unajua kuna mpango wa kujenga Reli kwenda Rwanda? Unajua unapoitaja Rwanda unaitaja Mshariki ya Kongo? Mbali ya hizo nchi nyingine ni Rwanda ndiye inategemewa mizigo mingi kupitia kwake.
kwani mpaka wa uganda na rwanda umeshafunguliwa mkuu ?Rwanda hawana shida kivile. wana option ya kutumia bandari ya Mombasa kupitia Uganda.
afterall ni route ambayo ni less risky vs COVID-19 because marais wa Kenya na Uganda wanajua wanachokifanya linapokuja suala la korona.
Mkuu usiseme sisi wajinga, hatuwezi kwenda kulia lia kwao wakati mamlaka zao zipo? Kwani serikali ya Rwanda hawakuona huo unyanyasaji kuwa ni makosa wachukue hatua stahiki? Au hadi tuende sisi kubembeleza?Sisi sio wapole ni wajinga!
Tangu Madereva wetu walalamike kwamba wanazuiwa kwenda Rwanda zimepita siku ngapi. Uliona kiongozi yeyote wa Tanzania amelizungumzia hilo suala ama hata wanadiplomasia wetu kwenda Rwanda kushughulikia jambo hilo kwa maslahi ya Tanzania?
Hilo sitoshangaa kabisaa, lakini hivi tujiulize kama madereva wa Tz Wana Corona na hawaruhusiwi kuingia nchini Rwanda kwanini hawa madereva wa Rwanda waje huku kwetu, hawajui kwamba wanakuja kuichukua hiyo corona kuipeleka kwao.
kagame anaga urafiki na mtu bwashee.kama kazingua na m7 aliekuwa mtu wake wa karibu kwenye harakati za vita vya kumuingiza rwanda itakuwa magufuli?Hii korona lazima imgombanishe Kagame na mzee wetu maana mzee wetu hawezi kuelewa kabisa huu mwenendo wa Rwanda
Museveni na Kagame wanajuana kuliko sisi tunavyowajua!kwani mpaka wa uganda na rwanda umeshafunguliwa mkuu ?
manake kuna kipindi walifungiana mipaka baada ya pk kumzingua m7
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hili ni sisi ndio tulitakiwa tupeleke maafisa wetu wa diplomasia kwa kuwa maslahi yetu ndiyo yanahujumiwa!!Mkuu usiseme sisi wajinga, hatuwezi kwenda kulia lia kwao wakati mamlaka zao zipo? Kwani serikali ya Rwanda hawakuona huo unyanyasaji kuwa ni makosa wachukue hatua stahiki? Au hadi tuende sisi kubembeleza?
tuBaada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini.
Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni wanaoingia nchini mwao.
Katika hili inasemekana madereva wa malori kutokea nje wamekuwa ndiyo kitisho kikubwa. Takwimu zinaonyesha kuwa madereva kadhaa tokea Tanzania wamepatikana na virusi hivyo kwenye kuingia huko. Kutokana na hali hiyo, inasemekana Rwanda imebadilisha utaratibu wa malori kuingiza mizigo na sasa kuwataka madereva wa kutoka nje (Tanzania) kuishia mpakani. Utaratibu mpya unawataka madereva walioko (salama) ndani ya Rwanda pekee kuyafikisha malori Kigali na kuwarudishia mpakani.
Utaratibu wa ajabu kabisa. Nani atamwamini mtu asiyemjua na gari lake? Kujibu hilo madereva wa Tanzania nao wamechukua hatua zao na kuanzia jana inasemekana hali huko ni tete. Hakuna lori kutoka Rwanda wanaloliruhusu kuingia nchini. Vinginevyo nao wanawataka waishie mpakani kwa hali ile ile kama inavyotakiwa kwa wetu kufanya.
My take: Serikali inabidi kuingilia kati haraka iwezekanavyo na kuchukua hatua. Yawezekana hawa ndugu tuliowaachia mpaka wazi kwa kuwahurumia ya kwamba watataabika mno, huruma yetu hawaihitaji kabisa!
Kudos madereva wetu si mbaya mkuki kwa nguruwe kuwa ni ule ule kwa binadamu pia.
View attachment 1440166
]
View attachment 1440167
View attachment 1440140
kumbe inapita,sasa tatizo la rwanda ni mizigo ma corona??Unajua kuna mpango wa kujenga Reli kwenda Rwanda? Unajua unapoitaja Rwanda unaitaja Mshariki ya Kongo? Mbali ya hizo nchi nyingine ni Rwanda ndiye inategemewa mizigo mingi kupitia kwake.
Rwanda wanafanya siasa siasa tu. Hiyo ndiyo inaitwa "Diplomasia ya kiuchumi" inayotokana na "Ujasusi wa Kiuchumi" na nchi inayoathirika zaidi ni ili yenye "Uchumi dola".
ujinga huo,wacha huu mchezo tuucheze kiswahili,halafu itafahamika nani ni smart zaidi ya mwingine.Kwenye hili ni sisi ndio tulitakiwa tupeleke maafisa wetu wa diplomasia kwa kuwa maslahi yetu ndiyo yanahujumiwa!!
sasa kama wanajuana sana ndo sababu ya kupelekeana majeshi mpakani na kufungiana mipaka.Museveni na Kagame wanajuana kuliko sisi tunavyowajua!