Hata akitaka kupitishia Egypt mzigo utafika tu DRC, ila je, hiyo ni akili timamu as far as economics is concerned?Hata ukipita Durban South Africa utafika tu DRC, lakini ukitaka kuzungumzia hili, ongea uchumi (talk economic).
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Ndio kusudi la kumwandikia huyo niliye mnukuu, anadhani kwamba ni rahisi tu kuhamisha lango la kuingizia mizigo kwenye nchi. Ndio maana nikamwambia awaze kama mwanauchumi. Binafsi nimesema Rwanda na nchi nyingine mfano Kenya wakifunga mipaka in the long run wataumia zaidi.Hata akitaka kupitishia Egypt mzigo utafika tu DRC, ila je, hiyo ni akili timamu as far as economics is concerned?
Uko sahihi mia kwa miaHao madereva nawaunga mkono waendelee kukaza hivyohivyo Kama wao wanaambiwa waishie mpakani na madereva wa Rwanda waishie mpakani haki itendeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa hakatazwi, ila na sisi tunajilinda kwa kuzuia madereva wao wasilete Corona nchiniHata ningekuwa mimi, lazima nilinde raia wangu kwa gharama yoyote.
Sawa, na sisi pia tunazuia madereva wa Rwanda wasituletee Corona, watafute dereva wa Kitz amalizie safariHapa kuna kitu hujakielewa ndugu. Dereva anatafutwa na transporter (mwenye gari) na hapewi dereva asiemtaka na serikali ya Rwanda au yeyote yule. Utaratibu huo madereva kutoka Tanzania hawautaki maana unapunguza maslahi yao. Na serikali yetu ilishaarifiwa kabla ya utaratibu huo haujaanza kutekelezwa na ulikubaliwa. Mbona kenya na uganda wanatumia utaratibu huo na haujaleta kelele?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujasema wazuiwe kuingiza magari, bali dereva wao apokelewe nna dereva wa Tz ili kuepusha wasituletee Corona toka Rwanda, kama Kenya watakubali dereva wao wazuiwe mpakani ila wa Rwanda wawe free kuingiza Corona Kenya then so be it.., wapitishie MombasaTukiwazuia kabisa mizigo yao watapitishia Mombasa ndugu. Hasara atapata nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi japo itawaongezea gharama wenye biashara rwanda au wanyarwanda wao watajijua serikali ya Tanzania ikomae mizigo yote ya Rwanda ishushwe border wao waibebe border iwe kichwani au kwa mikokoteni au magari watajijua case closedKiuhalisia hii sio sawa! Kama ni kuwazuia madereva wa Tanzania kuingia Rwanda basi bora Malori kutoka Tanzania yawe yanashusha mzigo boda then ya Rwanda yanapokea from there lakini sio kumuachia mtu usiyemjua gari yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, pia watatuletea Corona toka Rwanda, na wao wabaki huko hukoHao Madereva wa Rwanda wakiingia Tanzania si watapata maambukizi na kuyapeleka Rwanda.Kila mmoja abaki nchini mwake.Pumbavu.
Wanadhani kila mtu ana ndugu Rwanda au?Unampataje sasa huyo mnyarwanda wa kumuamini kumuachia gari? Bado tatizo lipo palepale
si hivyo.mbali na kwamba hii ni biashara ila,landlocked sio wateja waamuzi wanunue bidhaa wapi,ni geografia ndio inawaamulia.
bandari ya dar es salaam ina nchi kama 7 zinaitumia,tunaweza kuachana na rwanda sio sababu hatufai kwenye biashara hapana,bali sababu si mshirika mzuri wa biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashauri tuitwange Rwanda kijeshi, tuweke Rais kibaraka wetu then reli itapita kibabe mpk Congo Mashariki,easy as that.Unajua kuna mpango wa kujenga Reli kwenda Rwanda? Unajua unapoitaja Rwanda unaitaja Mshariki ya Kongo? Mbali ya hizo nchi nyingine ni Rwanda ndiye inategemewa mizigo mingi kupitia kwake.
Not easy as that!! Vita kisa malori kuzuiwa? Mahiga ndiyo zilikuwa kazi zake hizo. Wazee wa jalalani wao wako bize kwenye mazishi!!easy as that.
Mkuu kwani tumeshamaliza kuzichunguza testing kits zetu hadi tuweke one stop center? By the way Tanzania Kuna corona?Kinachotakiwa kuwe na one stop center ya kupima corona ambayo madaktari wa Rwanda watampima dereva kwa pamoja na madaktari y Tanzania akigundulika Hana corona awe mtanzania au mnyarwanda aendelee na safari lakini bila one corona check up center nawaunga mkono madereva wa Tanzania na serikali isiwasumbue
Wizara ya afya ya rwanda na Tanzania wekeni one stop corona check up center mkiwa wote pamoja madaktari wa Tanzania na rwanda mcheck corona madereva
Mkuu unaongea uchumi ukiwa bado inapumua,Ila ukishalala hatuna Cha uchumi Wala revenue.Nothing is expensive kuliko kupoteza uhaiHata ukipita Durban South Africa utafika tu DRC, lakini ukitaka kuzungumzia hili, ongea uchumi (talk economics).
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Ana mzika nani tena?Not easy as that!! Vita kisa malori kuzuiwa? Mahiga ndiyo zilikuwa kazi zake hizo. Wazee wa jalalani wao wako bize kwenye mazishi!!
Then ikishatoka Mombasa itapitia njia gani? Maana kwa M7 walishafungiana boda.Tukiwazuia kabisa mizigo yao watapitishia Mombasa ndugu. Hasara atapata nani?
Sent using Jamii Forums mobile app