Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Chigali kuwa Logistics Hub ya maziwa makuu. Je? ndoto hii itafanikiwa?
 
Au vinginevyo wachukue approach ya mzee M7, kwamba madereva wa malori hawaruhusiwi kusimama wala kushuka toka kwenye magari yao mpaka wanapofika final destination. Au kuna kuwa na very few well planed stops za magari hayo kupaki na wanafuatiliwa kwa ukaribu
 
Hata ukipita Durban South Africa utafika tu DRC, lakini ukitaka kuzungumzia hili, ongea uchumi (talk economic).

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Hata akitaka kupitishia Egypt mzigo utafika tu DRC, ila je, hiyo ni akili timamu as far as economics is concerned?
 
Kinachotakiwa kuwe na one stop center ya kupima corona ambayo madaktari wa Rwanda watampima dereva kwa pamoja na madaktari y Tanzania akigundulika Hana corona awe mtanzania au mnyarwanda aendelee na safari lakini bila one corona check up center nawaunga mkono madereva wa Tanzania na serikali isiwasumbue

Wizara ya afya ya rwanda na Tanzania wekeni one stop corona check up center mkiwa wote pamoja madaktari wa Tanzania na rwanda mcheck corona madereva
 
Hata akitaka kupitishia Egypt mzigo utafika tu DRC, ila je, hiyo ni akili timamu as far as economics is concerned?
Ndio kusudi la kumwandikia huyo niliye mnukuu, anadhani kwamba ni rahisi tu kuhamisha lango la kuingizia mizigo kwenye nchi. Ndio maana nikamwambia awaze kama mwanauchumi. Binafsi nimesema Rwanda na nchi nyingine mfano Kenya wakifunga mipaka in the long run wataumia zaidi.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Hapa kuna kitu hujakielewa ndugu. Dereva anatafutwa na transporter (mwenye gari) na hapewi dereva asiemtaka na serikali ya Rwanda au yeyote yule. Utaratibu huo madereva kutoka Tanzania hawautaki maana unapunguza maslahi yao. Na serikali yetu ilishaarifiwa kabla ya utaratibu huo haujaanza kutekelezwa na ulikubaliwa. Mbona kenya na uganda wanatumia utaratibu huo na haujaleta kelele?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, na sisi pia tunazuia madereva wa Rwanda wasituletee Corona, watafute dereva wa Kitz amalizie safari
 
Tukiwazuia kabisa mizigo yao watapitishia Mombasa ndugu. Hasara atapata nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujasema wazuiwe kuingiza magari, bali dereva wao apokelewe nna dereva wa Tz ili kuepusha wasituletee Corona toka Rwanda, kama Kenya watakubali dereva wao wazuiwe mpakani ila wa Rwanda wawe free kuingiza Corona Kenya then so be it.., wapitishie Mombasa
 
Kiuhalisia hii sio sawa! Kama ni kuwazuia madereva wa Tanzania kuingia Rwanda basi bora Malori kutoka Tanzania yawe yanashusha mzigo boda then ya Rwanda yanapokea from there lakini sio kumuachia mtu usiyemjua gari yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi japo itawaongezea gharama wenye biashara rwanda au wanyarwanda wao watajijua serikali ya Tanzania ikomae mizigo yote ya Rwanda ishushwe border wao waibebe border iwe kichwani au kwa mikokoteni au magari watajijua case closed
 
si hivyo.mbali na kwamba hii ni biashara ila,landlocked sio wateja waamuzi wanunue bidhaa wapi,ni geografia ndio inawaamulia.

bandari ya dar es salaam ina nchi kama 7 zinaitumia,tunaweza kuachana na rwanda sio sababu hatufai kwenye biashara hapana,bali sababu si mshirika mzuri wa biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashauri tuachane nao kabisaaa,tutafute wateja wengine watakaokua washirika wazuri wa kibiashara.
 
Kinachotakiwa kuwe na one stop center ya kupima corona ambayo madaktari wa Rwanda watampima dereva kwa pamoja na madaktari y Tanzania akigundulika Hana corona awe mtanzania au mnyarwanda aendelee na safari lakini bila one corona check up center nawaunga mkono madereva wa Tanzania na serikali isiwasumbue

Wizara ya afya ya rwanda na Tanzania wekeni one stop corona check up center mkiwa wote pamoja madaktari wa Tanzania na rwanda mcheck corona madereva
Mkuu kwani tumeshamaliza kuzichunguza testing kits zetu hadi tuweke one stop center? By the way Tanzania Kuna corona?
 
Hata ukipita Durban South Africa utafika tu DRC, lakini ukitaka kuzungumzia hili, ongea uchumi (talk economics).

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Mkuu unaongea uchumi ukiwa bado inapumua,Ila ukishalala hatuna Cha uchumi Wala revenue.Nothing is expensive kuliko kupoteza uhai
 
Back
Top Bottom