Nani alaumiwe..!??
kwani lazma tulaumiane?
wao wamechukua policy yao na sisi ya kwetu katika kukabiliana na hili.janga, basi lazma kutatoa matokeo tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alaumiwe..!??
I meant exactly every word.
Rwanda ana options za kutumia Mombasa, Beira or even Durban or Angola.
Tanzania akisusiwa na all landlocked countries kwa sababu za kizwazwa maana yake bandari zake zitakuwa zina operate under capacity na kwa hasara, etc.
Wanawaita wenzao (wahutu) mende!Mtusi ndio anajiona kuwa yeye ni Mnyarwanda, wengine wote wanawaona mbuzi tu.
Sasa wanafata nini huku kwenye corona rais wao awaambie na wao mizigo yao wapitishie na wa waifate huko ambako hamna corona...unazuia wa huku kuingia huko wakati na wewe watu wako wanakuja hukuhuku kwenye corona sasa hapo si workdone 0 tu....hio ingekua na maana kama na madereva wa Rwanda wangekua hawaji huku mizigo toka Tanzania inaishia boda na wao wanaichukua boda kuelekea kwao baaaasBwana dereva, Wanyarwanda hawana kosa lolote hapa. Kuna visa vingi sana vya madereva wetu vya corona huko Uganda, Malawi na Rwanda. Malawi mpaka sasa, kati ya wagonjwa 41 wa corna, 13 ni maderva kutoka Tanzania. Sasa mnataka nchi zote ziwe kama ya kwenu. Kama ndio mawazo yenu haya, kumbe huyu Rais wenu pia alitakiwa kuwa dereva. Mnafikiri nyie ndio mna bandari tu? Ngoja waende Mombasa na Beira muone. Yaani nchi kuchukuwa hatua sitahiki za kujilinda, nyie inawakera. Mlitaka iwe kama Tanzania, siyo? watu waanze kuzika usiku Rwanda, Uganda, Malawi.... Siyo sahihi kabisa.
corona yenyewe itafanya natural selection,kama ilivyofanya kwa US baada ya china,hawaamui wahanga bali yenyewe,ni corona ndio itamchagua bwana wake.
mpaka sasa visa rwanda ni 261.unaweza ukaona ni jinsi gani corona ndio inaongea haipangiwi.mwisho watafunda mipaka yote visa vinazidi tu,halafu itabidi waseme upepo unaipeperusha kuelekea kwao kutokea bahari ya hindi[emoji16][emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye dashboard moja inaonesha TZ imeshapima watu 652 kati yao 480 ni positive. What went wrong!Hao wamepima watu zaidi ya 30,000 so far na visa vyao ni hivyo 261,hebu tuwekee nasi tumepima watu wangapi na matokeo yake yakoje.
kwa ratio hiyo ni kama useme kwa tz kwa kila watu 6,4 wana corona,good.Hao wamepima watu zaidi ya 30,000 so far na visa vyao ni hivyo 261,hebu tuwekee nasi tumepima watu wangapi na matokeo yake yakoje.
Bwana dereva, Wanyarwanda hawana kosa lolote hapa. Kuna visa vingi sana vya madereva wetu vya corona huko Uganda, Malawi na Rwanda. Malawi mpaka sasa, kati ya wagonjwa 41 wa corna, 13 ni maderva kutoka Tanzania. Sasa mnataka nchi zote ziwe kama ya kwenu. Kama ndio mawazo yenu haya, kumbe huyu Rais wenu pia alitakiwa kuwa dereva.
Mnafikiri nyie ndio mna bandari tu? Ngoja waende Mombasa na Beira muone. Yaani nchi kuchukuwa hatua sitahiki za kujilinda, nyie inawakera. Mlitaka iwe kama Tanzania, siyo? watu waanze kuzika usiku Rwanda, Uganda, Malawi.... Siyo sahihi kabisa.
usahihi uko wapi iwapo dereva mwenye corona kaendesha gari mpaka Rwanda na kufika mapakani ashushwe na dereva wa Mnyawanda aingie kwnye gari lile lile aliendeshe na asiambukizwe na ubaya wanayarejesha baadhi ya vitu havimo poli kama kuna maambukizi tanzania kwanini madereva wao wanaoingia na kutoka huku aao wasifanyiwe treatment ya kukomea mpakani pia kama si njia ya kutengeneza ajira kupitia mgongo wa cororna nimemsikiliza mkuu wa wilaya kupitia DW kuwa alijaribu kuwasiliana na upande wa Rwanda wakashindwa kuelewana hivyo ameomba mamlaka za juu ziingilieUamuzi Wa Rwanda uko sahihi.Nchi lazima ilinde watu wake kwa nguvu zote
Swali linabaki palepale ni kwa nini madereva wao waingie nchi yenye corona? Inamaana na wao hawajali afya zao?Bwana dereva, Wanyarwanda hawana kosa lolote hapa. Kuna visa vingi sana vya madereva wetu vya corona huko Uganda, Malawi na Rwanda. Malawi mpaka sasa, kati ya wagonjwa 41 wa corna, 13 ni maderva kutoka Tanzania. Sasa mnataka nchi zote ziwe kama ya kwenu. Kama ndio mawazo yenu haya, kumbe huyu Rais wenu pia alitakiwa kuwa dereva.
Mnafikiri nyie ndio mna bandari tu? Ngoja waende Mombasa na Beira muone. Yaani nchi kuchukuwa hatua sitahiki za kujilinda, nyie inawakera. Mlitaka iwe kama Tanzania, siyo? watu waanze kuzika usiku Rwanda, Uganda, Malawi.... Siyo sahihi kabisa.
Bwana dereva, Wanyarwanda hawana kosa lolote hapa. Kuna visa vingi sana vya madereva wetu vya corona huko Uganda, Malawi na Rwanda. Malawi mpaka sasa, kati ya wagonjwa 41 wa corna, 13 ni maderva kutoka Tanzania. Sasa mnataka nchi zote ziwe kama ya kwenu. Kama ndio mawazo yenu haya, kumbe huyu Rais wenu pia alitakiwa kuwa dereva.
Mnafikiri nyie ndio mna bandari tu? Ngoja waende Mombasa na Beira muone. Yaani nchi kuchukuwa hatua sitahiki za kujilinda, nyie inawakera. Mlitaka iwe kama Tanzania, siyo? watu waanze kuzika usiku Rwanda, Uganda, Malawi.... Siyo sahihi kabisa.
Unaongea kama vile huna kichwa unawaza kwa kutumia kuchaYani mtu kapiga nchi lockdown ili kudhibiti Corona halafu mtu mwingine ambaye wala hajali maisha yake aje aniletee magonjwa? Hata hivyo Rwanda wamewavumilia sana wa Tz. Watu maisha yenu wenyewe hamuyajali itakuwa ya wenzenu?
Halafu wewe ni mjinga tu hujitambuiKagame ana akili.
Namuunga mkono sana kwenye hili
Yaani mimi nisacrifice kuthibiti Korona hadi kufikia kuwapunguzia watumishi mishahara halafu mijitu ya nchi nyingine ije iharibu sacrifice yoote eti tu. kwa sababu raisi wao anatafuta shortcut ya tatizo
Kagame tuko pamoja, uko sahihi mara mia na nakushauri ili kulinda Afya za Wanyarwanda pitisha mizigo Mombasa mpaka ujiridhishe kuwa Tanzania ni salama.
Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu
Usinunue mashine wala kuchimba kaburi.kwa ratio hiyo ni kama useme kwa tz kwa kila watu 6,4 wana corona,good.
wacha tuamini hivi mkuu,unashauri tufanyaje,tununue mashine za kupumulia au tuchimbe makaburi???
Sent using Jamii Forums mobile app