Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Kwanini hakuyasema haya Kikwete alipokua anagombea term ya pili? Kikwete aligombea na nani term ya pili?
Na mimi mkuu naomba kukumbushwa, nmefatilia sana ila sioni wagombea wengne walo mchallenge Mzee wa msoga 2010.....

Wajuvi wa mambo nisaidien hii historia.
 
Daaah!! User name inasadifu
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
sasa anajua kuna tofauti za tamaduni anachoshangaa ni nini?? huwa naelewaga kushindwa kumuelewa mtu, membe akae kimya tu ni busara pia kuliko huku kulialia kila siku wenzake wanafanya kweli, si akachukue hiyo fomu ...
 
Na mimi mkuu naomba kukumbushwa, nmefatilia sana ila sioni wagombea wengne walo mchallenge Mzee wa msoga 2010.....

Wajuvi wa mambo nisaidien hii historia.
Shibuda alichukua fomu na mtu mwingine ambaye simkumbuki
 
MATAGA lazima watage safari hii!!
Hata 2015 mlisema hivyo hivyo matokeo yake Lowasa akawatagisha nyie.

Na kama umemsikiliza vizuri Membe jana wakati anahojiwa na DW utagundua mwelekeo wa Membe ni ACT au chadema!

Kwahiyo ni zigo lenu hilo, jiandaeni kudeki barabara tena.
 
Fomu ya dola au urais? Pia kuna taarifa kua printer ya kuprint fomu nyinigine imeharibika ,kirusi kimeitafuna file yenye fomu na ile iliyotolewa imeisha jazwa.
Tupo Dodoma maana tumehamia huko sio kukaa DSM
Mwambie Membe aende dodoma kuchukua form aache kubwabwaja
 
Naona umeibuka! Vipi corona?
 
Membe anabweka tu ila **** sehemu wakimtekenya lazima anye
 
Mnabishaaaaana mwenzenu anatia zake bando, anapost twitter ananyoosha miguu sebuleni kuangalia watu wanavyocharurana.

Hivi ana hamu na urais anajua fomu zinapopatikana ila yupo tu anapost twitter?
 
Atachukua wapi kama wanamzuia?? Kama hawamwogopi wafanye uchukuaji fomu uwe huru.Kwanini unataka achukue fomu nyuma ya pazia??
Walimzuia wapi? Anafikiri form zinapatina twitter?
 
Nimekwambia wewe ni moja kati ya wajinga mnaoamini kila kitu mitandaoni
Fomu nyingi zipo Zanzibar huku Bara imeprintiwa moja tu.mjomba ako jiwe muoga sana maana alijua kabisa kuwa hakubaliki na yeyote ila analazimisha tu.
 
Kufananisha Marekani na Tanzania huo utaratibu aliwafunza nani tangu lini MAREKANI NA TANZANIA ZIKAFANANA ...toeni hoja zinazoeleweka NYUMBU
Kafananisha kwa sababu mfumo wa vyama unafanana vyama vingi ila sio kwa utajiri au kitukingine.sasa unataka tufananishe na china kweli.najua ulikuwa kujaelewa nini kinaendelea ulikulupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…