Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wanaosema hayo maneno ni wa Chadema. Humu jukwaani hakuna mwana CCM yeyote alishasema CCM wanahitaji joka la mdimu.Safi sana Membe agombee huko huko CCM maana wanachama wa CCM wanasema wanamhitaji kwa hali na mali.
Hahaha Membe na kaka yake.Ccm tunamtaka chapombe....
View attachment 1487442
Bora joka la mdimu kuliko jibwa koko..Wanaosema hayo maneno ni wa Chadema. Humu jukwaani hakuna mwana CCM yeyote alishasema CCM wanahitaji joka la mdimu.
Akachukue kwa kaka yake.Hiyo fomu akachukue wapi wakati mjomba wako jiwe kaprint fomu moja tu.
Tatizo ya jibwa koko ni muoga sana hakafu linabweka sana kumbe halina lolote.Akachukue kwa kaka yake.
Sawa, Sasa taja rais badala ya Magufuli siyo kusema Magufuli hawi rais bila kutaja Nani atakiwa rais.Magufuli anakwenda kuandika rekodi ya rais wa kwanza tz kuongoza muhula mmoja
Membe alizoea kubebwa mzee kikwete ila yeye binafsi ni mweupe mno
Sawa, Sasa taja rais badala ya Magufuli siyo kusema Magufuli hawi rais bila kutaja Nani atakiwa rais.
Majitu hamna hata mgombea urais kila siku kubwabwaja tuu, Kama Magufuli atabaki bila kutaja wa kumtoa hakika atapita bila kupingwa.
Chadema mnazo nyiingi, wagawieni hao mnaowataka. Kwanini mnalazimisha wakachukua fomu toka CCM?Fomu nyingi zipo Zanzibar huku Bara imeprintiwa moja tu.mjomba ako jiwe muoga sana maana alijua kabisa kuwa hakubaliki na yeyote ila analazimisha tu.
Mbona hajafananisha na Uingereza mana kule pia kuna vyama vingi na bado wana malkia,?Kafananisha kwa sababu mfumo wa vyama unafanana vyama vingi ila sio kwa utajiri au kitukingine.sasa unataka tufananishe na china kweli.najua ulikuwa kujaelewa nini kinaendelea ulikulupuka.
Aliyemuwekea sumu Mangula mmeshampata?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi sana Membe agombee huko huko CCM maana wanachama wa CCM wanasema wanamhitaji kwa hali na mali.
Sidhani kama unajua ulichoandika! au elimu na ufahamu wako ni mdogo sana!Mbona hajafananisha na Uingereza mana kule pia kuna vyama vingi na bado wana malkia,?
Sawa tutachagua huyo rais wa wananchi, anaitwa Nani ili tuone Kama Hana kashfa za ufisadi, uzinzi, ulevi nk. Tunahitaji kumfahamu mapema Kama tulivyomfahamu mapema Magufuli ambaye unapendekeza tusimpigie kura.2020 Mwaga Pombe ya NEC chagua Raisi wa Wananchi
Embu nielimishe nifahamu nisichokijuaSidhani kama unajua ulichoandika! au elimu na ufahamu wako ni mdogo sana!
Wapi kuna Demokrasia ?Acha uppuuzi Urusi na Uchina hakuna demokrasia. Ukandamizaji kwa kwenda mbele.
Yaani wewe akiliyako sijui huwa unaitumia kuifanyia nini mbona ubongo wako umelala sana hama ccm huko yaani umekuwa kama msukule.sasa bongo tuna malkia hapa mpaka tufananishe na UK.kwanza unamiaka mingapi maana unaonekana huna unalolijua.Mbona hajafananisha na Uingereza mana kule pia kuna vyama vingi na bado wana malkia,?
Baada ya hapo ndo alijiunga ChademaMkuu John shibuda si alkua CHADEMA.
Hapo nazungumzia wagombea wa uraisi ccm 2010,walochukua form tofauti na JAKAYA.