Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Huyo aliebinuliwa kwa che Nkapa?
Mdaka Nshale eti angedaka lile Kombora la Kifo lingemtoboa mpaka Kifua na angekufa kabisa halafu Mali tuanze kuvunja nao mahusiano ya Kidplomasia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akaona bora alipishe tu isije ikaleta shida
 
Lilikua kali mnooo
 
Mdaka Nshale eti angedaka lile Kombora la Kifo lingemtoboa mpaka Kifua na angekufa kabisa halafu Mali tuanze kuvunja nao mahusiano ya Kidplomasia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akaona bora alipishe tu isije ikaleta shida
Ndiyo kombe lenu Hilo na kujipooza machungu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii ingeleta kelele pia Kwa mfano kakolanya angefungwa zile penalty binadamu wangeanza kusema ally salum asingetolewa ange daka vizuri penalty & vice versa is true...
 
Waydad ndiyo mabingwa w kupoteza muda siju zote.
 
Tshabalala alionekana kuzungusha mikono ishara ya substitute lakini skuona Jamba lolote . Nn maana ya captain na kwanini asiaminiwe.
Tshabalala kataa ucaptain wanakuchukulia poa.x🀣🀣😲😲
 
Ni kweli shabalala jana alionekana akiwaambia bench la ufundi kwa ishara wafanye mabadiliko ya kipa ila halikufanyika

any way tshabalala yy ni mshauri tu ila mwenye maamuzi ya mwisho ni kocha.
 
Watani zangu wana ,🦁si muda wakutafuta mchawi,alisha wapeni madhara, achaneni na yote gangeni yajayo,zaidi zaidi msiwe na nyie wachawi wetu,acheni kesho tuwabebeni,tulibebe taifa.πŸ€”
 
Ni kweli shabalala jana alionekana akiwaambia bench la ufundi kwa ishara wafanye mabadiliko ya kipa ila halikufanyika

any way tshabalala yy ni mshauri tu ila mwenye maamuzi ya mwisho ni kocha.
Katekeleza majukumu yake lakini benchi la ufundi lilibunda tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…