Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Huyo aliyeanzisha uzi ni utopolo mwenzako, kwa hiyo usiseme 'mmeanza'
 
Kweli kabisa mkuu upo sahihi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii hata mimi nililiona ila bado nikashangaa hawakufanya hvyo.
 
Hivi zile Penati zenyewe ulibahatika kuziona au ulikua ukizisikiliza kwa matangazo ya redioni tu?
Labda kama una hamu ya kulaumu ma siku yako isingepita pasipo kulaumu, basi ungelaumu waliokosa penati lakini siyo kumlaumu kipa kwa kutozidaka penati zile.
 
We ulimsikia nani utopolo big. Mechi ya Simba we inakuwasha nini mbwa wewe
True colours za Makolo fc ndo hivi mitusi grade one! Mbumbumbu fc wanatisha kwa matusi! Bila Kutukana Raha hamna!

Simba gwedegwede hawawezi kucomment bila matusi mazito. Hii inadhihirisha kiwango Cha hasira zilizowajaa!! Makolo Kombe hawana hata moja msimu wa pili huu na klabu bingwa wameumaliza mwendo kike, wamekandwa na waume zao Wydad kama tulivyosema Sasa wanasimba wamebaki kutazamana tu klabuni.

Sasa Simba imeonesha ni genge tu la wahuni hii timu yao yenye makelele na masifa na ligi sahihi kwao ni ndondo maana kujipa ukubwa bila kombe ni dharau kubwa. Hii Simba ligi ya saizi yao ni ndondo cup ikaumane na wenzao kina Abajalo, Faru Dume, Mpalanger fc etc!!
 
Usituzungumzie sisi Simba hayakuhusu kwanza..tufungwe sie nyie ndo muumie hii imakaaje..
Sis WaTz ni wakarimu sana ni desturi yetu kumuonea huruma marehemu na kumuombea na kumpa Maua yake!!
 
Tuwe wakweli tukubari matokeo mara ngapi tunaishi hapo iwe klabu bingwa au kombe la washindi africa kwahiyo tukubari tisiwe sizitaki mbichi hizi baada ya kwishindwa vyote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…