hizi ndo comment za kishamba zinazoharibu mada, ko hata mwanao akikuuliza "baba kwa nin magari mengi siku hz yanabendera ya israeli, utasema kwa sababu ni taifa teule!!?" afu ndo mnasema walimu wanafelisha watoto wenu!Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
Amen. Najua mnashingo ngumu; hata Mungu anajua hilo lakini bado ni Taifa teule kwa Mungu;hata Musa alijua kuwa ni wenye shingo ngumu kutoka 34:9; kutok 32:9. Lakini bado amesema atakayembarik atambariki na atakaye mlaani atamlaani. ( mwanzo 27:29e) mwanzo 12:2-3. Hiyo ni ahad ya Mungu huwa haitanguki hesabu23:20-21. Nakubariki IsraelAlaaniwe atakaye ilaani Islael na Abarikiwe atayeibariki Islael...
Hii ni tafsir ya kimwili sio ya kiroho mkuu. Halafu elewa kuwa wakristo wanachugua wanayotaka kwenye agano la kale na wasiyotaka wanaacha. Unashindwa kuacha kula nguruwe unakimbilia kupeperusha bendera!! Kweli kabla ya kiyama tutashuhudia mengi sana. Tutashuhudia mtu mzinzi anavaa rozari, mtu fisadi anapeperusha bendera ya Israel nae anaamini atapata thawabu kwa tendo hilo, Tutashuhudia wezi wanatoa sadaka na kujenga misikiti na makanisa kwa pesa ya waliyoiba!!! Hakika tutashuhudia watu wakienenda katika mapenzi yao na kuacha mapenzi ya Mwenyezi MUNGU,ISAYA 62:10 , “Tokeni nje! Tokeni nje! Mkaandae barabara ili watu wangu wapate kurudi! Jengeni barabara, ondoeni vikwazo, na
MPEPERUSHE BENDERA YA ISRAELI . ”
Mi ipo chumbani kwangu.kila mtu ana uhuru wa kufanya atakalo bila kuvunja sheria na taratibu za nchi
ukisikia ulimbukeni na ubwege wa fikra ndio huo, sidhani kama waisrael wanaweza kuwa na utumwa wa akili za kibwege na kilimbukeni za baadhi za hao wabongo walioishiwa na kupigiwa misumari ya kitumwa(mental slaves) na kuweka bendera ya bongo kwa Imani ni itakadi za ajabu ajabu tuu, na hata waisrael hata ubalozi hawana kwenye hii, nchi, wanatuona sisi ka mazombii au mazumbukuku tuu, hasa hao walioweka bendera za taifa hilo ambalo hutasikia lijidai kuijua Tanzania na watu wake, nyie mnaofanya hivyo -emancipate yourself from mental slavery!Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
ukienda ulaya ambao ndio walioleta hizo dini huku afrika pamoja na waarabu, utashangaa maisha na hizo dini huku afrika tunavyozipapatikia huku tukiiba, ufisadi, uzinzi na magonjwa, sijui hizo dini zinasaidia nini wakati hayo yoote sisi ndio tunaongozaa, sehemu nyingine za dunia ukimwi ni labda uutafute kwa wasenge( man sex man-msm) lakini huku kwetu looh, na dini n bendera za Israel, that's total bullshit! tungekuwa wafuata dini kweli tungekuwa mbaali Sanaa! otherwisetunatafuta kick tu!Unapingana na Biblia?
Well said mkuu!!!ukienda ulaya ambao ndio walioleta hizo dini huku afrika pamoja na waarabu, utashangaa maisha na hizo dini huku afrika tunavyozipapatikia huku tukiiba, ufisadi, uzinzi na magonjwa, sijui hizo dini zinasaidia nini wakati hayo yoote sisi ndio tunaongozaa, sehemu nyingine za dunia ukimwi ni labda uutafute kwa wasenge( man sex man-msm) lakini huku kwetu looh, na dini n bendera za Israel, that's total bullshit! tungekuwa wafuata dini kweli tungekuwa mbaali Sanaa! otherwisetunatafuta kick tu!
ukisikia ulimbukeni na ubwege wa fikra ndio huo, sidhani kama waisrael wanaweza kuwa na utumwa wa akili za kibwege na kilimbukeni za baadhi za hao wabongo walioishiwa na kupigiwa misumari ya kitumwa(mental slaves) na kuweka bendera ya bongo kwa Imani ni itakadi za ajabu ajabu tuu, na hata waisrael hata ubalozi hawana kwenye hii, nchi, wanatuona sisi ka mazombii au mazumbukuku tuu, hasa hao walioweka bendera za taifa hilo ambalo hutasikia lijidai kuijua Tanzania na watu wake, nyie mnaofanya hivyo -emancipate yourself from mental slavery!
Na hapo ni ndipo ninaposhindwa kumshangaa mungu wenu anayewapanga watu kwa magroup.. Kwamba huyu in first class mja na huyu ni second class mja.. Tena huwapanga hivyo wala so kwa uchamungu wao ! Bali ni kutokana na kuzaliwa by chance katika taifa hilo tu ! What a miracle ![emoji57]
Mungu anayependa utumwa !Toka Enzi hizo za Abraham kulikuwa na matabaka umesahau kuwa kulikuwa na watumwa? Huoni kuwa hapo tayari ni tabaka la walio bora na watumwa?
Rudi ukasome maandiko ya hz dini mbili kila moja inazungumzia utumwa.Mungu anayependa utumwa !
Tena bible ndo inasema kabisa hadi jinsi ya kumuadhibu mtumwa kama akikosa ! Even how the slave must behave to his/her master !Rudi ukasome maandiko ya hz dini mbili kila moja inazungumzia utumwa.
Alaaniwe atakaye ilaani Islael na Abarikiwe atayeibariki Islael...