Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
hizi ndo comment za kishamba zinazoharibu mada, ko hata mwanao akikuuliza "baba kwa nin magari mengi siku hz yanabendera ya israeli, utasema kwa sababu ni taifa teule!!?" afu ndo mnasema walimu wanafelisha watoto wenu!
 
Alaaniwe atakaye ilaani Islael na Abarikiwe atayeibariki Islael...
Amen. Najua mnashingo ngumu; hata Mungu anajua hilo lakini bado ni Taifa teule kwa Mungu;hata Musa alijua kuwa ni wenye shingo ngumu kutoka 34:9; kutok 32:9. Lakini bado amesema atakayembarik atambariki na atakaye mlaani atamlaani. ( mwanzo 27:29e) mwanzo 12:2-3. Hiyo ni ahad ya Mungu huwa haitanguki hesabu23:20-21. Nakubariki Israel
 
ISAYA 62:10 , “Tokeni nje! Tokeni nje! Mkaandae barabara ili watu wangu wapate kurudi! Jengeni barabara, ondoeni vikwazo, na
MPEPERUSHE BENDERA YA ISRAELI . ”
Hii ni tafsir ya kimwili sio ya kiroho mkuu. Halafu elewa kuwa wakristo wanachugua wanayotaka kwenye agano la kale na wasiyotaka wanaacha. Unashindwa kuacha kula nguruwe unakimbilia kupeperusha bendera!! Kweli kabla ya kiyama tutashuhudia mengi sana. Tutashuhudia mtu mzinzi anavaa rozari, mtu fisadi anapeperusha bendera ya Israel nae anaamini atapata thawabu kwa tendo hilo, Tutashuhudia wezi wanatoa sadaka na kujenga misikiti na makanisa kwa pesa ya waliyoiba!!! Hakika tutashuhudia watu wakienenda katika mapenzi yao na kuacha mapenzi ya Mwenyezi MUNGU,
Hakika hapa ndipo ule msemo wa si kila asemaye bwana bwana ataingia ufalme wa mbingu unatimia.
Leo ngoja niwape kweli, nayo kweli ndio hii, YEYOTE ATAKAYEMUAMINI MWENYEZI MUNGU NA SIKU YA MWISHO NA AKATENDA MAPENZI YA MWENYEZI MUNGU NDIYE ATAKAYEONGOKA, HATA KAMA HUNA DINI HAKIKA UTAONGOKA. BIBLIA SIO DINI NA QURANI SIO DINI NA KUPITIA VITABU HIVYO UTAJIFUNZA MAPENZI YA MUNGU.
Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
ukisikia ulimbukeni na ubwege wa fikra ndio huo, sidhani kama waisrael wanaweza kuwa na utumwa wa akili za kibwege na kilimbukeni za baadhi za hao wabongo walioishiwa na kupigiwa misumari ya kitumwa(mental slaves) na kuweka bendera ya bongo kwa Imani ni itakadi za ajabu ajabu tuu, na hata waisrael hata ubalozi hawana kwenye hii, nchi, wanatuona sisi ka mazombii au mazumbukuku tuu, hasa hao walioweka bendera za taifa hilo ambalo hutasikia lijidai kuijua Tanzania na watu wake, nyie mnaofanya hivyo -emancipate yourself from mental slavery!
 
Unapingana na Biblia?
ukienda ulaya ambao ndio walioleta hizo dini huku afrika pamoja na waarabu, utashangaa maisha na hizo dini huku afrika tunavyozipapatikia huku tukiiba, ufisadi, uzinzi na magonjwa, sijui hizo dini zinasaidia nini wakati hayo yoote sisi ndio tunaongozaa, sehemu nyingine za dunia ukimwi ni labda uutafute kwa wasenge( man sex man-msm) lakini huku kwetu looh, na dini n bendera za Israel, that's total bullshit! tungekuwa wafuata dini kweli tungekuwa mbaali Sanaa! otherwisetunatafuta kick tu!
 
Well said mkuu!!!
 
ukisikia ulimbukeni na ubwege wa fikra ndio huo, sidhani kama waisrael wanaweza kuwa na utumwa wa akili za kibwege na kilimbukeni za baadhi za hao wabongo walioishiwa na kupigiwa misumari ya kitumwa(mental slaves) na kuweka bendera ya bongo kwa Imani ni itakadi za ajabu ajabu tuu, na hata waisrael hata ubalozi hawana kwenye hii, nchi, wanatuona sisi ka mazombii au mazumbukuku tuu, hasa hao walioweka bendera za taifa hilo ambalo hutasikia lijidai kuijua Tanzania na watu wake, nyie mnaofanya hivyo -emancipate yourself from mental slavery!

Wewe umejawa na chuki kwa taifa teule utakufa na kijiba cha roho
 
Hivi nyie taifa teule linalozungumziwa munalijuwa kweli au ndo kukalili, Alaaniwe MTU atakaye ilaani Israel jaman hayo mambo yalikuwa kipindi hicho waisrael walipokuwa na damu alisi isiyochanganika na mataifa mengine, WASAMARIA walikuwa wanaonekana takataka na wanaisrael coz wamechanganika na mataifa mengine, Hivi ukiwakataa wa Israel sasa hivi utakuwa na Makosa? wakati wao walikuwa wanawakataa WASAMARIA na kuwatenga kisa wamechanganika na damu nyingine.
 
Na hapo ni ndipo ninaposhindwa kumshangaa mungu wenu anayewapanga watu kwa magroup.. Kwamba huyu in first class mja na huyu ni second class mja.. Tena huwapanga hivyo wala so kwa uchamungu wao ! Bali ni kutokana na kuzaliwa by chance katika taifa hilo tu ! What a miracle ![emoji57]

Toka Enzi hizo za Abraham kulikuwa na matabaka umesahau kuwa kulikuwa na watumwa? Huoni kuwa hapo tayari ni tabaka la walio bora na watumwa?
 
Hadi Leo mnavaa nguo zenye bendera ya marekani lkn sijasikia mkilalamika
 
Whoever embrace Israel by any means must be blessed. Take it from the Bible.
 
Rudi ukasome maandiko ya hz dini mbili kila moja inazungumzia utumwa.
Tena bible ndo inasema kabisa hadi jinsi ya kumuadhibu mtumwa kama akikosa ! Even how the slave must behave to his/her master !
 
Back
Top Bottom