Kasome ulichoandika katika post yako halafu utaelewa ninachouliza. Maana katika hiyo post umenitusi na kunisema vibaya kana kwamba tuna ugomvi. Bado najiuliza ni ulevi, hasira au matatizo ya akili?Wewe ndio utakuta usali na kujiita mtu wa Dini na Mcha Mungu na hapa JF unashuhudia Uongo... ulevi hapa ni upi? na Matatizo ya akili ni yapi? Watu wa Dini siku zote ndio wakorofi na wasio amini hadith huwa wapo huru
Nadhani ungesoma wewe maana ndiye nilikuandikia... bora uendelee kujiulizaKasome ulichoandika katika post yako halafu utaelewa ninachouliza. Maana katika hiyo post umenitusi na kunisema vibaya kana kwamba tuna ugomvi. Bado najiuliza ni ulevi, hasira au matatizo ya akili?
Na wewe weka bendera ya HamasWaungwana kuna mambo maishani huwa yanapotazamwa humuachia mtazamaji kila aina ya tafakuri kichwani mwake. Ndani ya miaka kadhaa ya hivi karibuni, kumezuka tabia ya watu kuitundika bendera ya Israel kwenye sehemu ya chini ya kioo cha ndani ya gari, kile ambacho dereva hukitumia kutazama magari yanayokuja kutokea nyuma ya gari.
Mwanzoni nilidhani ni mahaba binafsi ya mtu mmoja, lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo ambavyo mashabiki wa bendera hiyo maarufu duniani, walivyozidisha tabia hiyo.
Huwa najiuliza kama Waisrael na wao wanayo tabia ya kuitundika bendera ya Tanzania, katika sehemu ile ile ambayo sisi tunaitundika bendera yao ndani ya magari yetu. Huwa najaribu kujiuliza iwapo Mtanzania anayekatiza katika mitaa ya Jerusalem au Tel Aviv anaweze kukutana na gari ambalo ndani yake kuna bendera ya Tanzania imetundikwa, na muisrael akiendesha gari huku akiufurahia uwepo wa bendera yetu.
Haya ni mawazo yangu, kwani tabia hii imenifanya nijiulize iwapo upendo unaotoka mioyoni mwetu kuelekea kwa Waisrael, unaweza na wenyewe kuwa unathaminiwa na Waisrael bila ya sisi Watanzania kujua ni jinsi gani tunavyothaminiwa.
Umejibu kwa hekima sanaNi kawaida kwa watu kufunga bendera fulani (kwenye gari au popote) kwa sababu ya imani waliyonayo, itikadi na mapenzi. Ukienda uarabuni waweza ona vijana wa kiarabu wamefunga bendera za kimarekani. Lakini sehemu nyingine wanafunga bendera za ISIS. Wako wanaofunga bendera za team kama Arsenal, ManU n.k. Na wako wanaofunga bendera ya Israel. Wengine wanafunga za CCM na wengine CHADEMA. Ni kitu cha kawaida sana. Ndio maana twavaa hata jezi au sare za kitu tukipendacho, hata team za mataifa ya nje. Wote tunafanya kitu kimoja.
Amina...Unamaanisha Mungu aliposema milele hakumaanisha milele? Au unataka kusema Mungu anaposema kuna Mbingu ni code for what? Unakoelekea kubaya aisee. Hiyo aina ya utafsiri wa Biblia haifai na kwa ushauri tu bora uachane nayo.
Kwa taarifa tu Mungu husema anachomaanisha na humaanisha anachosema. Hizo code sijui vitu gani hana. Mungu alimwambia Nuhu kuwa ajenge safina na dunia itagharikishwa. Ilikuwa rahisi kama hivyo. Na Dunia iligharikishwa. Mungu alisema atambariki Ibrahimu naye atakuwa baba wa Mataifa. Hakukuwa na code hapo. Kwamba Kuna Mbingu na Jehanamu hakuna code. Kwamba Israel ni taifa ambalo Mungu amelichagua milele ni plain na hakuna code.
Na mwisho kukusaidia tu huo mstari hauna uhusiano na Israel wala hakuna code hapo. Yesu alikuwa akipambana na Mafarisayo ambao waliamu kuihalifu Amri ya Mungu wakifuata maagizo ya wanadamu. Ilikuwa ni issue tofauti, katika muktadha tofauti na kimantiki hukuapaswa hata kuiweka hapa. Unamsingizia Roho Mtakatifu kuwa ni decoder. Unapaswa kutubu. Roho sio decoder yako na unapaswa ujue kazi anayoifanya Roho Mtakatifu badala ya kusingizia.
All in all ninachokiona kwako na wengi humu ndani ni kuwa mnaandika ambavyo mefundishwa/kumezeshwa au kuambiwa. Ni wachache wanapost wanachokijua ambacho wamekisoma na kukifahamu.
View attachment 341110
....... Yeye Mwenyezi Mungu alikuiteni Waislaam tangu zamani (katika Vitabu vya awali -Zaburi, Tourat na Injil) na katika Qur'an hii pia.
Qur'an: 22:78.
Charlie One acha blaah blaah !
Ibrahimu aliahidiwa na mungu mwenyewe atakae mbariki na yeye atabarikiwa na yeye atabarikiwa,akiilaani na yeye atalaaniwa.Vilevile kwa Israel
..........Uislaam haufuati maoni yako na historia uliyofundishwa Sundays School, bali ni aya tu.Ngoma ukiivuta upande mmoja itakushinda.
Sisi tunaswali kama Injil inavyosema: Mathayo 6:10, na Luka 4:43.Mbona hamswali kama Wayahudi?
NITAWABARIKI WALE WATAKAO KUBARIKIBendera ya Israel inaitwa 'the star of David.' Wanaoitundika popote pale ni wakristo na wanaihusisha na imani yao ya kikristo. Wengi wetu tunafahamu uhusiano kati ya mfalme na nabii Daudi na masihi Yesu Kristo. Hakuna siasa katika hili.
Haya mawazo ndio yana wapa kiburi waiziraeli kukiuka haki za binadamu na kufanya uhalifu wa kivita bila hata kushitakiwa kwasababu wao ni "WATEULE"Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
Alikuwa anasali msikiti gani?..........Uislaam haufuati maoni yako na historia uliyofundishwa Sundays School, bali ni aya tu.
Muislaam wa kwanza ni Nabii Adam A.S Charlie One
'Na viliomo mbinguni na ardhini vinamsujudia Mwenyezi Mungu tu vikitaka au visitake. Na pia vivuli vyao asubuhi na jioni.Alikuwa anasali msikiti gani?
Mkuu Maswali yako yapo low sana... Unapozungumzia jina Israel basi unazungumzia Yakobo au Waislam huita Yakub... so Watoto na wazawa wa Yakobo ndio waliitwa Watoto wa Israel ambaye ni Yakobo... so ndio Maana Historia imewazungumzia tokea miaka hiyo 3500 iliyopita hadi leo hii vizazi vyake vipo so hawana Jina lingine zaidi ya hilo la Waisrael damu ni nzito kuliko maji... kama mawazo yako yanaweza kataa hili basi wewe ni mtu mwenye uwezo wa kukataa kila kitu utakachoambiwa hakika... Hawa Jamaa waliweza tunza record zao tokea vizazi vyao.... ila hamna Shida ya wewe kukataa au kukubali au kushangaa.. ila waweza pay a visit maeneo ya middle east kujionea Mambo...Vizuri sana. swali linarudi palepale....Je, ni israeli hii iliyopo sasa au ni ile ya agano la kale?
Wa Idrisa mkuuAlikuwa anasali msikiti gani?
Unataka nianike uislam ulipotokea na ulianzaje acha uzushi Majini na Injili ni tofauti kabisa...Sisi tunaswali kama Injil inavyosema: Mathayo 6:10, na Luka 4:43.
Qur'an: Surat al Fatihaa:1.
'Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mwenye kurehemu. (Baba yetu ilie Mbinguni jina lako litukuzwe)
Sifa zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa Viumbe vyote.
Mwingi wa Rehema na Mwenye Kurehemu.
Mwenye Kumiliki siku ya Malipo (Kiama)
Wewe tu (mwenyezi Mungu Mmoja) ndiye tunae kuabudu, na Wewe tu ndiye tunae kuomba msaada.
Tuongoze katika njia iliyo nyooka (Uislaam)
Njia ya wale ulio waneemesha (manabii na watu wema), siyo ya wale ulio wakasirikia (washirikina na waovu), wala wale walio potea (waabudu sanamu na miungu ya uzushi)
Mlaleo wayahudi wao sala yao imeandikwa wapi !?