Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Jamani kwa wanojua sheria na taratibu. Natamani sana kupandisha bendera ya taifa (Tanzania) nyumbani kwangu, je, nitaruhusiwa na sheria, na nitaipataje hiyo flag?
 
😛😛😛😛😛😛
 
Rejea kwenye maandiko matakatifu ya BIBLIA,hapo utafahamu kwa nini watu wanapepeza bendera ya Israel.
 

Duh! Ahsante , nimekuelewa vizuri sana .Ina maana zile bangili za kiasili zinazotengenezwa kwa shanga, au ngozi za wanyama.
enzi zetu tulikuwa tukiziita makembe.
Ila hilo neno Kacha umelitohoa toka kiingereza cultural.
 
Duh! Ahsante , nimekuelewa vizuri sana .Ina maana zile bangili za kiasili zinazotengenezwa kwa shanga, au ngozi za wanyama.
enzi zetu tulikuwa tukiziita makembe.
Ila hilo neno Kacha umelitohoa toka kiingereza cultural.
Yap ahahahah ndo wamezoea kuita kacha nikajua hua una faham ila nadhani umenisaidia pia kujua neno makembe
 
Bado hujaijua Israel mpaka sasa, hilo ni taifa pekee duniani lenye uwezo wa kujitegemea kwa kila kitu na limezungukwa na majirani maadui, bendera ni ishara ya upendo
linajitegemea kwa kitu gani? hebu fafanua tuelewe. Israel ni nchi inayoongoza kupokea misaada ya kijeshi na kiuchumi kutoka marekani. Kwa afrika Egypt ndiyo inayoongoza. sasa sijui unamaanisha nini unaposema Israel inajitegemea kwa kila kitu?

bendera ya Israel ni ishara ya upendo? hebu weka sawa maelezo yako. maana naona bendera yao ina hexagram/ two inverted triangles iliyopo katikati mistari miwili ya rangi ya blue (two strips of blue colour) na background nyeupe. sasa sijui hiyo ndiyo ishara ya upendo.

Pia nashangaa kuona watu wengi wanaipenda hii bendera sasa sijui ndiyo wanafuata hiyo ishara ya upendo? pia sijui huo upendo unatolewa kwa ishara unamaanisha nini wakati nchi yenywewe inaikalia Palestine kwa mabavu na kuipora ardhi yake mchana kweupe huku ikiweka blockage ya kuingia Gaza hata misaada ya kibinadamu kama madawa na chakula.

Israel ni nchi inayopigana vita ya mara kwa mara, ingawa naweza sema sio vita bali ni kwenda kutuliza mamlaka ya Palestine (maana hadi sasa sio nchi ila inaitwa Palestinian authority) isiyo na jeshi bali ni wanachama wa chama cha siasa cha Hamas ambacho kinatabuliwa kama kikundi cha kigaidi na mataifa ya magharibi.
 
Sina sababu ya kumlaumu awekaye hiyo bendera kama vile nisivyo na sababu ya kumlaumu asiyeiweka. Wapo watu wanafuga rasta wakiamini kufanya hivyo ni kuenzi imani ya marasta, wapo watu wanavaa kanzu wakiamini wakifanya hivyo wanampendeza Mungu, wapo wanaofuga ndevu wakiamini kuwa kufanya hivyo ni kumpendeza Mungu, n.k.

Wanaoweka bendera ya Israel wanaitukuza Israel ya kiimani na wala siyo ya dola ya kiisrael. Wakristo wote ukisoma kwenye ufunuo wa Yohana, utagundua kuwa Israel na Yerusalem ni alama ya mbingu. Kwenye ufunuo wa Yohana, Yerusalem inatajwa kama mji wa pekee uliojengwa kwa madini mbalimbali ya thamani lakini Yerusalem hiyo siyo hii tunayoifahamu sote.

 
Hakuna Taifa au watu wasio wabaguzi katika Dunia hii. Kinachotofautiana ni kiwango na uwazi wa ubaguzi. Nenda India kuna ubaguzi mkubwa, nchi zote za kiarabu kuna ubaguzi wa ajabu kupindukia, Urusi, Ujerumani, Spain, n.k. kote kuna ubaguzi. Hata ndani ya mataifa kuna ubaguzi kati ya makabila, kati ya dini, kati ya jamii au hata koo. Kinachosaidia ni uwepo wa sheria zinazozuia ubaguzi. Japo kuna wakati wanaosimamia sheria wenyewe nao ni wabaguzi pia.

Hapa kwetu penyewe napo pana ubaguzi, tena mwingine wa wazi kabisa. Maalim Seif kule Zanzibar kanyimwa Urais kwa sababu gani zaidi ya ubaguzi? Ni mara ngapi hata ndani ya Tanganyika kuna watu wamebaguliwa kutokana na misimamo yao tu ya kisiasa? Hukusikia hata zile kauli kuwa, 'wapinzani tunaweza kuwapa vyote lakini siyo ikulu', kauli kama hizo si sehemu ya ubaguzi pia?

kun

nadhani ni kasumba tu kwa baadhi ya wafuasi wa yesu kudhani bendera ya kizayuni ya israeli inawakilisha israel ya ndani ya biblia takatifu. israel ya leo ni nchi ya mazayuni wabaguzi wakubwa. ni nchi sawa na apartheid south africa.
 

We kweli umevurugwa,,unajua maana ya neno Israel kwanza mpaka unaona ni jina LA ajabu,,,,mngejua hao waisrael hawamuamini Huyo yesu wenu
 
Who Guards The Most Sacred Site In Christendom? Two Muslims

BY GABRIELE BARBATI ON03/29/13 AT 11:55 PM

Shown is the Church of Holy Sepulchre during a Holy Fire ceremony in Jerusalem's Old City.

PHOTO: REUTERS/STEVE CRISP

JERUSALEM -- Every Christian knows the holiest places in Christendom are in Jerusalem. The holiest of all, the Church of the Holy Sepulchre, was erected in 325, over the site where it is believed Jesus was crucified, buried and rose from the dead.

Yet, few know that it is a Muslim who opens and closes the only door to this holiest of Christian sites.

In fact, it's two Muslims: one man from the Joudeh family and another man from the Nuseibeh family, two Jerusalem Palestinian clans who have been the custodians of the entrance to the Holy Sepulchre since the 12th century.






:: Nuseibeh Family Website ::
 
Bado hujaijua Israel mpaka sasa, hilo ni taifa pekee duniani lenye uwezo wa kujitegemea kwa kila kitu na limezungukwa na majirani maadui, bendera ni ishara ya upendo


Operesheni panua mipaka imeanza, inasemekana kuna mwaka Umoja wa Mataifa waliwaambia wahamie Uganda
 
Rejea kwenye maandiko matakatifu ya BIBLIA,hapo utafahamu kwa nini watu wanapepeza bendera ya Israel.
Weka fungu tusome. nijuavyo Mimi bendera ya Israel ilidizaniwa miezi mitano kabla ya kuwa taifa mwaka 1948. sasa wakati huo biblia ilikuwa tayari imeshaandikwa zamani sana wala haijatabiri kutokea kwa kabendera ka Israel na ndiyo maana hutoweza kutupa mafungu ya biblia kuhusiana na bendera ya Israel
 
Samahani hii article hapa Chini ni ndege, lakini itakupa undani namna wa Yahudi wasiyvo amini kuwa yesu ni messiah na atarudi.

Why Jews Don't believe in Jesus (in brief)


Why Jews Don't believe in Jesus

It's a very popular question. Why don't Jews believe Jesus was the Messiah? Aren't the proofs convincing?

This is a sensitive issue, and it is hoped that no one will be offended by the candid answer provided here.

We do not believe that it is prophesied that the Messiah will be crucified. We do not believe that the Messiah will be the son of G-d. We do not believe that he will be raised from the dead any more than anyone else. We do not believe that he will appear twice, in what some Christians call a second coming. We do not believe that the Messiah will be our "savior" in the sense that he will redeem us from our sins.

These are all fascinating claims to make concerninganyone, but they are all irrelevant to the Messiah for whom the Jews have awaited these three thousand years. None of these things are prophesied in the Jewish Bible.

What then is this Messiah for whom we wait? The Messiah will be a mortal man, born of a normal man and woman.He will be a man very learned in all sections of the Torah, and he will be a very righteous man. He will be of the undisputed scion of David through his father. He will become uncontested ruler in the Land of Israel over all the People of Israel, that is, all Twelve Tribes of Israel. He will have at least one son, who will be king after the Messiah dies a normal death at an advanced age.

He will be as described by the Prophet Isaiah (Isaiah 11:2-4): "full of wisdom and understanding, counsel and might, knowledge and the fear of G-d . . . he will smite the tyrant with the rod of his mouth, and slay the wicked with the breath of his lips . . ." (Maimonides explains this last as merely a parable, and not to be taken literally.)

Still, the Messiah will primarily be a prince of peace. As it says (Isaiah 52:7) "How beautiful upon the mountains are the feet of the messenger who announces peace."

The Messiah will bring an end to all suffering and war. He will rescue the Children of Israel from exile. He will teach the world how to revere truth, and they will all return to G-d (though not necessarily to Judaism). All forms of warfare will be abolished.

The Torah will be strengthened by the teachings and practices of the Messiah. It will not be weakened nor changed in the slightest.

The Jews will no longer be subjugated nor oppressed by other nations. (In fact, there will be no oppression or subjugation anywhere in the world, by anyone against anyone.) The Jews will be free in the Land of Israel. We will have the Holy Temple once again. We will have the full body of the Law restored by the full Sanhedrin and all lesser courts. And the Messiah will do all this on his first try. Indeed, this is how we will know he is the Messiah.

These are the main prophecies that the Torah tells us concerning the Messiah. The man who causes these to happen will be the Messiah. Since these have not happened, the Messiah, the one foretold by the Torah, has not yet come.

It will be through these signs that he will be recognized. It will not be through miracles, nor through resurrection of the dead, nor through any new creation. It will be through the total rescue we will undergo (as described in brief above) that we will know the Messiah. And in truth, we await the Redemption more than we await the Messiah. The Messiah will be G-d's messenger and vehicle for that Redemption.

And that is a very important point. We await our rescue from exile and an end to all human suffering in this world. The Messiah's purpose is not to make it possible for us to go to Heaven. The Torah teaches us how to do that already.

The man the Christians worship may have been a good person, and he may have taught many good things. (Although I hasten to point out that there are many teachings in the Christian Bible that are completely unacceptable to Orthodox Jews, and incompatible to the teachings of the Torah.) But he was not the Messiah for whom we await and have long awaited. He may have been crucified, and that's a horrible thing. But that merely proves to us that he was not the Messiah.

He was not the son of G-d any more than we all are; precisely no more or less. The very thought is repugnant to a Jewish person. G-d having a son in that manner? We shudder at the suggestion.

Nor do we believe he was resurrected. But even if he was, that would not make him the Messiah.

All this that is claimed about Jesus is irrelevant. It has nothing to do with the Messiah. There will indeed be a resurrection, but not at the time of the Messiah's coming. That will be later.

The Jewish faith has no place for most of the Christian Messiah beliefs. Nor is there any way to reconcile Jesus with the Jewish concept of the Messiah. The two concepts have very little in common.

We still await the Messiah, and our faith is still strong.

(I have said this in a number of places, and I will say it here again: If I get any e-mail letters from people trying to convince me that Jesus was the Messiah, I will respond without being sensitive to the writer's feelings, and I will not worry about being offensive. I will say exactly what I feel, and you will not appreciate my candid response. Judaism does not tolerate proselytizing. We don't do it to you, so have the decency not to do it to us.)

[Main Page] | Anti-Missionary Gateway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…